Wewe mkuu upo serious yani umtoe Rashford umsajili Pedro Goncalves? au haufahamu alicheza Wolves akaflop??I co-sign this. Phil Jones pia.
Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia
Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.
Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.
Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
Wewe unajuaje?Carrick mechi ya Chelsea itakuwa ya mwisho..
[emoji1787] wabongo bwana ... Kwamba mnataka Nini,,,I co-sign this. Phil Jones pia.
Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia
Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.
Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.
Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
[emoji1787] wanaeleza mpaka plan zaoYaani mnatumia nguvu kubwa kumuelezea kocha wenu mpya [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo ajabu na kupambwa kwake kootee msimu huu,Na yeye akatoka Kapamnavyomremba uyo kocha sasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]utasema katokea barcelona kumbe takataka alietupwa uko Russia sema aya maneno ata kipindi ronado na sanchoka walvokuja mliwanenea saiv wako wap[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nb; nyumbu ni nyumbu2
Sent using motorola 78
Mkuu Will Jr tulibishana sana kuhusu player profile na role ya kocha kwenye player profile. Naomba uje usikilize hapa mkuu
Hii Man Utd ya ss pia bila kuongeza mchezaji yeyote yule hakuna timu itamiliki zaidi yetu labda City, kuhusu hao wachezaji vilaza uliowataja wote waondoke hata bure sio lazima kuwauza kama hawauziki.I co-sign this. Phil Jones pia.
Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia
Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.
Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.
Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
Utakuwa unaota kufikiria kama Rashford ataondoka Man U.I co-sign this. Phil Jones pia.
Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia
Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.
Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.
Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
Mkuu mpka wan bisaka bro hauko seriousHii Man Utd ya ss pia bila kuongeza mchezaji yeyote yule hakuna timu itamiliki zaidi yetu labda City, kuhusu hao wachezaji vilaza uliowataja wote waondoke hata bure sio lazima kuwauza kama hawauziki.
anajipamba wapi wakati kocha wako mwenyewe ndio amempamba jamaa.....amna kocha apo anajipamba kwa kupita migongo ya makocha waliofanikiwa yeye aje aoneshwe uku sio russia au hoffeinham uku ad watford wanajilia tunda kimaskhara Leicester anajipakulia westham anajiandalia alafu young boys anafanya kama anasusa
Sent using motorola 78
Kwani na nyie mmekatazwa kuwaelezea makocha wenu? Mbona mnapangia watu maishaYaani mnatumia nguvu kubwa kumuelezea kocha wenu mpya [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yale yale ya Guardiola na Arteta[emoji2956]View attachment 2024204
Alafu anakuja mtu anasema tunampamba sisi wakati kocha wake mwenyewe anasema hivi[emoji2956]View attachment 2024204
Gallagher ni Grealish version 2 ana football intelligence kuliko GrelishBro ile ni ACADEMY YETU WALA HATUTOI PESA UNACHUKUA TU SI MWANAO