Ubora wa kocha angalia the idea behind & winning probability, kuangalia anafundisha ligi gani ni kutumia wrong variables, Ten hag can destroy teams.Munamchagua Sana Ten hag Kwa Sababu ya kufanya vizuri ajax, Ligi ambayo Hana mpinzaniz miaka kibao anachukua makombe uholanzi,Akiwa uefa anaonekana kufanya vizuri mwanzoni TU lakini next stage hafiki kokoteee.ViPi akifika Epl Ligi ngumu ku compete na makocha wenye majina ligi isiyo na Xmas mashindano kibao.
Good point.Ubora wa kocha angalia the idea behind & winning probability, kuangalia anafundisha ligi gani ni kutumia wrong variables, Ten hag can destroy teams.
Ajax wana kikosi kizuri kushinda hiki cha United?..Anajua anacho fanya Akiwa uholanzi lakini anapo kutana na mabingwa Huwa hafui dafu,Vipi Akiwa england ambako yeyote anakukalisha, ukijumulisha na wingi wa makocha bora kina conte,pep,Tuchel,klopp.Atafua dafuu?? Ukiongeza na pressure ya mashabiki,wandishi wa habarii Bila kusahau ma legend,Itakuaje??
Interim aje fasta tu-secure top four..na huko Uefa tupambanane.Mjerumani Ralf Rangnick anatajwa kukubali kibarua pale viunga vya OT kwa miezi 6View attachment 2023306
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Fabrizio alisema jamaa anataka kuwa na nguvu maamuzi yote ya muhimu ya soka ndani ya timu.....leo amecomfirm board wamekubali hiyo kitu nafikiri atasembua kiwanja wavivu atawaadabishaIts look like Glazers wameamka
Sasa Silva unaweza mfananisha na Halima gwaya au yule lindamnofu au yule Erica bailiKwa hiyo tusubiri Jumapili au tuchambue akina Thiago Silva ... Si ndio beki mnayoitegemea. Farmers League reject
Chalobah atamtia penaldo kwapaniChelsea vs Man U
Ball possession itakuwa hivi
Chelsea 90 Man U 10
huku Ronaldo akijikakamua kufunga Hattrick
Kutobos Epl inahitaji akili mipangoAnajua anacho fanya Akiwa uholanzi lakini anapo kutana na mabingwa Huwa hafui dafu,Vipi Akiwa england ambako yeyote anakukalisha, ukijumulisha na wingi wa makocha bora kina conte,pep,Tuchel,klopp.Atafua dafuu?? Ukiongeza na pressure ya mashabiki,wandishi wa habarii Bila kusahau ma legend,Itakuaje??
Ni muda wa kuangalia mpira huku beer zikishuka taratibuuu..sio kukunja uso kama tumelazimishwa..Gegenpressing at Old Trafford!
Unasahau aina ya usajili wa United.Imagine Klopp at United, angekuwa na EPL & UCL ngapi now?