Kwanza nitofautiane na wewe kuhusu Rijkard.Upo sahihi mkuu. Japo kuna makosa baadhi hapo ikiwemo Ronaldo kusajiliwa na Mourinho, he didn't, alisajiliwa kipindi cha Pellegrin.
Hata hivyo nimeelewa overall point yako.
Kusema ukweli mimi sio muumini wa haya masuala ya kusema kikosi kikishakua assembled basi kocha yupo guaranteed kufanikiwa nacho.
Naamini kocha naye anatakiwa kuwa na uwezo. Ntakutajia mifano michache.
Rijkaard ali fail kwa kutumia kikosi kile kile Guardiola alichukulia treble.
Lampard ali fail kwa kutumia kikosi kile kile TT amekuja kuchukulia uefa.
Carlo ali fail kwa kutumia kikosi kile kile ambacho Hans Flick amekuja kuchukulia treble pale Bayern.
Turudi kwa Zizzou sasa. Wakati akina Mou wanakomaa na Fabio Coentrao (mfano) kama LB, yeye akaona the right person kuwa left back ni Marcelo (it takes great coaching kujua hilo, just as the way Ole didn't know a lot about his best players)
Midfield ya Kroos, Modric na Casemiro Zidane ndo aliweza ku exploit potential yake. Casemiro alikua nothing before Zidane. Waliotangulia walikua wanakomaa na akina Khedira na Illaramendi kwenye DM, Zidane aka stick na Casemiro. This takes great coaching too.
Yapo mengine sana Zizzou ali develop katika kipindi chake ambayo hatuwezi ya ignore.
Faith ya Zidane kwa vijana ni kubwa nadhani kuliko makocha wengi sana kwa sasa.
Record ya most consecutive wins pale la liga ambayo ilikua inashikiliwa na Enrique kwa 39 games, Zizzou ndo aliivunja. Yeye ana 40 nadhani.
Zizzou amechukua la liga katika second coming yake akiwa na kikosi average compared to Barca na Atletico.
Kwa maoni yangu, Zidane ni underated. Kama tu Pep alivyoondokaga Barca ikasemekana hatafanikiwa ligi ya uingereza etc
Lampard alikuta Chelsea ambayo imetoka kuchukua Epl na Europa League kutoka kwa Conte na Mauricio Sari lakini ilikuwa imezuiwa kufanya usajili.Upo sahihi mkuu. Japo kuna makosa baadhi hapo ikiwemo Ronaldo kusajiliwa na Mourinho, he didn't, alisajiliwa kipindi cha Pellegrin.
Hata hivyo nimeelewa overall point yako.
Kusema ukweli mimi sio muumini wa haya masuala ya kusema kikosi kikishakua assembled basi kocha yupo guaranteed kufanikiwa nacho.
Naamini kocha naye anatakiwa kuwa na uwezo. Ntakutajia mifano michache.
Rijkaard ali fail kwa kutumia kikosi kile kile Guardiola alichukulia treble.
Lampard ali fail kwa kutumia kikosi kile kile TT amekuja kuchukulia uefa.
Carlo ali fail kwa kutumia kikosi kile kile ambacho Hans Flick amekuja kuchukulia treble pale Bayern.
Turudi kwa Zizzou sasa. Wakati akina Mou wanakomaa na Fabio Coentrao (mfano) kama LB, yeye akaona the right person kuwa left back ni Marcelo (it takes great coaching kujua hilo, just as the way Ole didn't know a lot about his best players)
Midfield ya Kroos, Modric na Casemiro Zidane ndo aliweza ku exploit potential yake. Casemiro alikua nothing before Zidane. Waliotangulia walikua wanakomaa na akina Khedira na Illaramendi kwenye DM, Zidane aka stick na Casemiro. This takes great coaching too.
Yapo mengine sana Zizzou ali develop katika kipindi chake ambayo hatuwezi ya ignore.
Faith ya Zidane kwa vijana ni kubwa nadhani kuliko makocha wengi sana kwa sasa.
Record ya most consecutive wins pale la liga ambayo ilikua inashikiliwa na Enrique kwa 39 games, Zizzou ndo aliivunja. Yeye ana 40 nadhani.
Zizzou amechukua la liga katika second coming yake akiwa na kikosi average compared to Barca na Atletico.
Kwa maoni yangu, Zidane ni underated. Kama tu Pep alivyoondokaga Barca ikasemekana hatafanikiwa ligi ya uingereza etc
Kuhusu Zidane hakuna sehemu yoyote niliposema ni mbaya ila nilichosema alikuta Squad iliyokamilika kila idara.Upo sahihi mkuu. Japo kuna makosa baadhi hapo ikiwemo Ronaldo kusajiliwa na Mourinho, he didn't, alisajiliwa kipindi cha Pellegrin.
Hata hivyo nimeelewa overall point yako.
Kusema ukweli mimi sio muumini wa haya masuala ya kusema kikosi kikishakua assembled basi kocha yupo guaranteed kufanikiwa nacho.
Naamini kocha naye anatakiwa kuwa na uwezo. Ntakutajia mifano michache.
Rijkaard ali fail kwa kutumia kikosi kile kile Guardiola alichukulia treble.
Lampard ali fail kwa kutumia kikosi kile kile TT amekuja kuchukulia uefa.
Carlo ali fail kwa kutumia kikosi kile kile ambacho Hans Flick amekuja kuchukulia treble pale Bayern.
Turudi kwa Zizzou sasa. Wakati akina Mou wanakomaa na Fabio Coentrao (mfano) kama LB, yeye akaona the right person kuwa left back ni Marcelo (it takes great coaching kujua hilo, just as the way Ole didn't know a lot about his best players)
Midfield ya Kroos, Modric na Casemiro Zidane ndo aliweza ku exploit potential yake. Casemiro alikua nothing before Zidane. Waliotangulia walikua wanakomaa na akina Khedira na Illaramendi kwenye DM, Zidane aka stick na Casemiro. This takes great coaching too.
Yapo mengine sana Zizzou ali develop katika kipindi chake ambayo hatuwezi ya ignore.
Faith ya Zidane kwa vijana ni kubwa nadhani kuliko makocha wengi sana kwa sasa.
Record ya most consecutive wins pale la liga ambayo ilikua inashikiliwa na Enrique kwa 39 games, Zizzou ndo aliivunja. Yeye ana 40 nadhani.
Zizzou amechukua la liga katika second coming yake akiwa na kikosi average compared to Barca na Atletico.
Kwa maoni yangu, Zidane ni underated. Kama tu Pep alivyoondokaga Barca ikasemekana hatafanikiwa ligi ya uingereza etc
Kwamba hatuna wachezaji wazuri?Nature ya kikosi tulichonacho pia inawatisha baadhi ya waalimu kuikubali united katikati ya msimu maana italazimu kuondoa wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza kitu ambacho tunaaminishwa kuwa ni world class
Kumbukumbu zangu ziko tofauti na zako.Mourinho aliwasajili
11. Christiano Ronaldo
12. Karim Benzema
Yes nimerekebisha kule juu lakini walisajiliwa na Manuel PellegrinKumbukumbu zangu ziko tofauti na zako.
Kwamba Mourinho aliwasajili Karim Benzema ba Chrisriano Ronaldo? Hawa si walisajiriwa Madrid mwaka 2009? Mourinho mwaka huo wanasajiriwa si alikuwa Inter Milan na msimu huo wa 2009/2010 ndipo akachukua UCL akiwa na Inter?
Mwamba is a real red's fan aisee
Ameshafukuzwa tayariAsanteni sana wadau kwa kunikumbuka
Hatimae yametimia ilikua ni miaka miwili ya masimango kejeli kuchekwa na kujikuta nipo peke yangu kwenye hii harakati lakini leo hatimae nimeondoka na kijiji humu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
simamia unachokiamini maana ipo siku tu kitakuletea mafanikio
BADO HAJAFUKUZWA TU[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio,wengi hawana hadhi ya kuichezea united chini ya kocha anayetaka makombeKwamba hatuna wachezaji wazuri?
Hio ndio culture yetu sisi na tumefanikiwa kwa kiasi kikubwaLampard alikuta Chelsea ambayo imetoka kuchukua Epl na Europa League kutoka kwa Conte na Mauricio Sari lakini ilikuwa imezuiwa kufanya usajili.
Msimu wake wa pili alifanya usajili ilihitajika muda kuiassemble squad yake.
Lakini kumbuka Chelsea ni timu yenye football culture tofauti kuliko vilabu vyote EPL ni timu ambayo huwa inaadapt haraka sana mabadiliko ya benchi la ufundi ndiyo karibu kila kocha aliyefundisha Chelsea Post Mourinho alipata mafanikio ukiondoa Scolari, Boas na Lampard tu.
wachezaji wengi manutd wako vizuri, tatizo hawajapa walimu kuwa drill brain zao. walimu wamekomalia physical fitness tu, mtu kama martial, Rashford, Pogba, sasa na Maguire wana serious mental problems, na hawana mtu wa kuwasidia kuover come challenges zao.Ndio,wengi hawana hadhi ya kuichezea united chini ya kocha anayetaka makombe
[emoji23][emoji23]Asanteni sana wadau kwa kunikumbuka
Hatimae yametimia ilikua ni miaka miwili ya masimango kejeli kuchekwa na kujikuta nipo peke yangu kwenye hii harakati lakini leo hatimae nimeondoka na kijiji humu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
simamia unachokiamini maana ipo siku tu kitakuletea mafanikio
BADO HAJAFUKUZWA TU[emoji3][emoji3][emoji3]
Nadhani ieleweke kwamba kuna makocha uwezo wao ni wa kawaida yaani anaweza kuitoa timu say level C akaiweka level B na hapo ndiyo mwisho wake hawezi kuipeleka level A hata umpe misimu mingapi na resources za aina gani. Aina ya makocha hao ni kama Lampard na Ole. Sio kwamba walikuwa wanapenda matokeo mabovu lakini uwezo wao wa kufundisha umefika mwisho pale. Watakuwa bora pengine huko mbeleni lakini sio kwa sasa. Chelsea isingemfukuza Lampard ingeendelea kuwa kama ilivyokuwa sababu Lampard mwenyewe aliwahi kusema Chelsea kuchukuwa makombe makubwa au kugombea makombe makubwa ni kuanzia 2023/2024. Leo hii tumeona mabadiliko ambayo Tuchel kayafanya chini ya mwaka toka aipokee timu sahau kuhusu kombe la UCL na Super Cup ila unaiona kabisa hii timu ipo kwenye level inayopaswa kuwepo.Lampard alikuta Chelsea ambayo imetoka kuchukua Epl na Europa League kutoka kwa Conte na Mauricio Sari lakini ilikuwa imezuiwa kufanya usajili.
Msimu wake wa pili alifanya usajili ilihitajika muda kuiassemble squad yake.
Lakini kumbuka Chelsea ni timu yenye football culture tofauti kuliko vilabu vyote EPL ni timu ambayo huwa inaadapt haraka sana mabadiliko ya benchi la ufundi ndiyo karibu kila kocha aliyefundisha Chelsea Post Mourinho alipata mafanikio ukiondoa Scolari, Boas na Lampard tu.
Kumbe baada ya kula umeme likawahi kuoga ili liende club kula ugimbi..fala kweli hili licaptain letu.Jamaa jana baada ya kipigo alionekana anaparty SheffieldView attachment 2018970
na anafuraha kamili kabisa hana shida hahahahah imagine angekuwa pogba au martialKumbe baada ya kula umeme likawahi kuoga ili liende club kula ugimbi..fala kweli hili licaptain letu.
Kocha ajae amvue captaincy..he's horrible.