Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Akija kocha serious na asiyeingiliwa majukumu yake na akina Ed kwa malengo ya kibiashara nadhani man utd itapoteza wachezaji wengi sana ambao leo tunawaita cream.
. Pogba
. Maguire
. Wanbisaka
. Scott
Martial
Rashfors atapewa muda aimarike la sivyo atapotezwa.
 
Issue sio mkataba kununulika, ni wenye mkataba kukubali kuuza mkataba. Levy akisema no, its no. Refer Kane to city scenario. City walifika bei but levy refused
Mkuu naomba nimsaidie jamaa....

Issue ya kane ni kuwa City walitaka lipa pesa tu na sio kulipa buy clause kwasababu Kane hana Buy clause so timu ndio inapanga....

Sijajua situation ya mkataba wa conte.....

Buying clause ni ile kuwa mkataba unanunulika kwa mil 100 mfano lakini kama haipo inamaanisha mmiliki atajitajia fedha anayotaka yeye .....

Mfano Neymar alikuwa na buy vlause ya 200mil + wao psg wakanunua wakati barca waligoma hadi kupokea hela ndio neymar akawasilisha fedha kupitia shirikisho la la liga....sahizi Ansu fati ana buying clause ya 1.5 bil ....

Kama kulikuwa na kipengele cha kununulika mkataba basi inawezekana ila kama hakipo kupengele kwenye mkataba basi inabidi ukae mezani na boss wa unaemuhitaji
 
Bailly kuwekwa nje na Maguire kilaza na ambaye ana majeraha..refer ile game aliyochomesha goli mbili.

McTominay kucheza mbele ya VdB every damn day..yaani hamna hata siku moja kocha alisema em ngoja nimuanzishe hata VdB.
ohooo, I missed this one.
I thought they have a british way of coaching football which doesn't click well with team's diversity.
I seriously never thought nationalism still has some influence in western countries.
 
Deniss anamiaka 24 anaweza fika mbali zaidi ya Adama traore maana interms of finishing yupo vizuri zaidi ni one to watch alitusumbua sana
.....

Lakini nikiwa namuangalia Deniss na Sarr nikakutana na luke Shaw jamaa alichangia sancho kuflop kipindi cha kwanza kabla hajahamia upande wa kulia na kufanya vizuri ....

shaw hawezi kuoverlap kabisa yani sancho akiwa na mpira anabaki kasimama tu mpaka sancho anarudisha mpira nyuma.... pia battle karibu zote alishindwa akabaki kudondoka tu chini....pia offensively amekuwa so poor nafikiri ameongeza uzito hivyo hawezi kupanda amekuwa mviziaji
 
Rushford ndio huwa simuelewi kabsaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…