Sio fair kabisa kumfukuza mtu kazi wakati ajira zenyewe zimekuwa ngumu kiasi hiki.
Angalau akili zimewakaa sawa sasa mmetoka kwenye unyumbu"Ole ana watoto.wawili wa kiume wanakula kama mchwa..msifute kazi"...walisikika wanaopenda kujichukulia points 3 kwa ole kiulani chap na ukali.
Mtakoma wazee..TUNAANZA UPYAAAAAAAA
Videmu vya kizungu vinakuwa vipumbavu kweli..Hahaa uko serious hapo nilipoweka wino mzito (bold)? Mwanaume anayeongozwa na mke wake hafai kuongoza kundi la wanaume mahala popote pale.
Kuna siku mke wake atamwambia Cristiano Ronaldo asiwe anaanza kisa kagoma kusaini kitabu chake cha kumbukumbu.
Unasemaje wewe mshabiki wa Liverpool uliyeanza kuishabikia Liverpool kwa kuvutiwa na Handsome boy TAA kama ulivyosema..Angalau akili zimewakaa sawa sasa mmetoka kwenye unyumbu
Hawa mastar wanapata pesa mapema sana wakiwa wadogo kabla hawaja wajua mademu vizuri. Huwa wanakuwa na tabia za kuwahusudu sana wake zao.Videmu vya kizungu vinakuwa vipumbavu kweli..
Kidemu cha De Gea pia mwanzoni kilikuwa hakipendi kuishi Manchester..na kilitaka De Gea asije United coz kalisema jiji la Manchester ni baya kama nyuma ya friji.
So,hawa mademu wanainfluence baadhi ya mamba.
Ole alinichekeshaga sana aliposema mabeki hawapendi kuwakaba wachezaji kama Martial,Rashford na Lingard..maana wapo talented sana na wana speed sana.I let the boys go out there and enjoy themselves kila press anaongea hii kauli mnataka tuwe tunachukua kombe la nini hahahaa.
Anyway nabaki mwenye uzi.
Bas km kigezo hiko anafaà mkuuAna ligi 2 pia lakini
Kaka una furaha sana, ole nkiongea chochote kuikashifu man United basi apigwe risasi😅😅😅😅"Ole ana watoto.wawili wa kiume wanakula kama mchwa..msifute kazi"...walisikika wanaopenda kujichukulia points 3 kwa ole kiulani chap na ukali.
Mtakoma wazee..TUNAANZA UPYAAAAAAAA
Omba tu asiwe brendan rodgers hahahaHii kusema wanatafuta interim coach mpaka mwisho wa msimu Kama nimewaelewa hivi! Yani huenda Kuna kocha pahala wanamvizia na wanaijua contract situation yake,,,,
Tutulize mtori nyama ziko chini ,,,,,
Yupo na Leicester vip mtamvunjia mkataba wake?Omba tu asiwe brendan rodgers hahaha
Tetesi zinasema pia wanamtaka eti watanunua mkataba wake hahahahaYupo na Leicester vip mtamvunjia mkataba wake?
Man u wanatakiwa watulie Ili wapate kilicho boraTetesi zinasema pia wanamtaka eti watanunua mkataba wake hahahaha
Zizzou anamapungufu yake, everytime akiondoka anaacha crisis nyuma, simtofautishi na Mourniho, achilia mbali pale madrid kakimbia kifuli chake, maelezo yake mengine anapoliticize tuYou're extremely wrong mkuu. Ukweli ni kwamba Zidane hayupo available kiasi hiko unachosema.
Moja, yeye anataka France NT
Mbili, anataka kumaliza mwaka mmoja wa likizo yake.
Tatu, hayupo tayari kuchukua team yoyote katikati ya msimu.
Nne, mke wake hataki weather ya mji wa Manchester (kiafrica tunaichukulia poa ila wenzetu huko wanaskilizana kwenye maamuzi)
Kabla Mou hajaenda Inter alikua ameshaamua kuchukua kazi ya England NT mke wake akakataa.
Talking about cheap, u cheap wake ni kwamba tu hana release clause yoyote. Ila package-wise jamaa sio the cheapest
Tatizo OLE hakuwa na character za ukocha, mtu yeyote mwenye proper character ile timu anaifundisha hata mimi wakinipa mwaka huu huu tutazungumzia kuchukua kombe.Man u wanatakiwa watulie Ili wapate kilicho bora
Ha ha unahatari sana mkuuu kumbuka nyuma ya ole Alex Ferguson alikuwepoTatizo OLE hakuwa na character za ukocha, mtu yeyote mwenye proper character ile timu anaifundisha hata mimi wakinipa mwaka huu huu tutazungumzia kuchukua kombe.
Mkuu nina experience kubwa sana ya people management, people management haina formula, it is a very dynamic undertaking.Ha ha unahatari sana mkuuu kumbuka nyuma ya ole Alex Ferguson alikuwepo