Hili suala la kupanga kikosi kwa kuangalia utaifa tumewahi kulisemea mara kibao kama cancer inayoiua united. Unashindwa ama umlaumu Ole,wachezaji wa kiingereza au wachambuzi uchwara wa class of 92. Inauma sana.
Kocha amekosa uthubutu wa kubadili walau wachezaji 2-3 wa kikosi cha kwanza ili kutafuta suluhu ya tatizo la timu. Mwisho wa siku tutakuja kukubali Fred anaumizwa na uwepo wa Mctominnay kwenye dimba la kati na sio kwamba ni kilaza.