Wewe utakuwepo ot siku hio!?HABAR ILIOPO MANCHESTER
Sosha kaambiwa ajiuzulu ila hataki na sasa yupo kwao ila kuna kijambo kinaendelea pale OT
Game ijayo ya jmosi dhidi ya Watford mashabiki wataandamana ili game hiyo isichezwe wamekubali hata Watford wapewe points ilimradi tu sosha aondoke
Mpaka sasa manchester wanawatag makocha watatu 1zizu 2 Eric hag 3 Luis Enrique
Rio Ferdinand yuko tayari katika maandamano hayo kuungana na mashabiki ili kuinusuru manchester na kufukuzwa kwa ole
Kwa upande mwengine Edwoodward anaweza asiwe na cheo chake huenda kikachukuliwa na mtu mwengine
Kwa upande Edwin van dar Sar anaweza Kuja United kuwa mzee wa kuleta vipaji pale OT
inawezekana sosha asirudi Tena kwa taarifa zilizopo timu sasahivi yupo nayo Michael Carrick mpaka watakapoamua yao maana mashabiki washasema wataandamana na ndo mana Sosh yupo pembeni kwanza anasikiliza upepo
Hayo ndio yaliopo ila naamini kila mmoja wetu humu anatamani ifike siku ya jmosi ili ajionee kile kitachojiri pale old Trafford[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
NINI MAONI YAKO SHABIKI MWENZANGU
Pundamilia je!?Katika watu ambao nawachukia ni wanaotuita nyumbuu.. yaan Bora Bora ujue kuwa kuniita nyumba wewe ni Ku.ma yamama ya maamamako. Niite jina lingine..sio nyumbu mavi nyie
Eti lazima aondoke, utadhani upo kwenye benchi la maamuziSema Bruno na Ronaldo watambeba tena kesho hata timu ikiwa na perfomance mbovu.
Ila kama unavyosema ikitokea tukafungwa.,ebhana eee lazima aondoke.
Hata Watford akiwafunga leo ,hizi kelele za nyuma ya keyboard jf haziwezi kumtoa ole pale OT [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sema Bruno na Ronaldo watambeba tena kesho hata timu ikiwa na perfomance mbovu.
Ila kama unavyosema ikitokea tukafungwa.,ebhana eee lazima aondoke.
Zizou is coming.Bado hajafukuzwa tu
mtanipa matokeo
Pale mtapigwa mara mbili mkuuuKama kweli timu inamzingatia Brendan Rodgers naomba wawaze mara 2
Huyo Rodgers ni muingereza?Kama kweli timu inamzingatia Brendan Rodgers naomba wawaze mara 2
Kikosi kimejaza waingereza 6 utegemee upate matokeo?Kosi alijakaa kiushindi kabisa yani.dalili zakupigwa 2 bila hiziView attachment 2017640
Anafanya makusudi kupata back up ya waingerezaKikosi kimejaza waingereza 6 utegemee upate matokeo?
Foolish Ole.
MscottishHuyo Rodgers ni muingereza?