Kiongozi we are unbeaten for 10 daysInternational break ndo hiyo imeisha na Ole is still at the wheel.
Sina hamasa na hii timu kabisa kwa sasa..hata nisipocheki gemu hainiumi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, upo sahihi!Kiongozi we are unbeaten for 10 daystukaze mwendo tu.
Kiongozi we are unbeaten for 10 daystukaze mwendo tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wakuu......+4567854097 namba ya Ole, msimwambie ni mimi nimewapa.
Mhimizeni atafute kiungo kama flamini na amchukue mshambuliaji fundi fabio borini.
wakuu......+4567854097 namba ya Ole, msimwambie ni mimi nimewapa.
Mhimizeni atafute kiungo kama flamini na amchukue mshambuliaji fundi fabio borini.
Anapenda na haya yote yanayo tokea ana deserve 100%.OLE anawakati mgumu sana jamani, ni wakati wa kuweka ubinadamu mbele sasa, sababu sidhani kama haya matokeo ni mipango yake hata yeye hapendi.
Board ipo kibiashara zaidi,,na sio kwa manufaa ya club.Board ya united bado inamsapoti Ole ila imemtaka aboreshe kiwango cha ucbezaji pamoja na matokeo mazuri.
My take.
Ikitokea Ole akashinda mechi za Liverpool na man city basi tunaye sana tu.
Sijui hawa jamaa wanaona nini ndani ya Ole ambacho sisi tumeshindwa kukiona ndani ya miaka 3 ya Ole!
Ole ni kocha mwenye bahati tu,lakini hana uwezo wowote wa kiutendaji.Kibiashara haijakaa sawa.Ila kimsingi Ole ametutoa point C kwenda point B na uwezo wake umeishia point B.
Tunahitaji mtu wa kutufikisha point A kabla kikosi hakijapasuka.
Mkuuuu inakuaje kama ole ataanza kushinda continues? Na akachukua ubingwa je utamsamehe?International break ndo hiyo imeisha na Ole is still at the wheel.
Sina hamasa na hii timu kabisa kwa sasa..hata nisipocheki gemu hainiumi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je wakikuambia bord mkuuu uchangie vip utatoa pesa na ww?Board ipo kibiashara zaidi,,na sio kwa manufaa ya club.
Wanafikiria kukatisha mkataba wa ole,na kumlipa ni pesa ndefu.
Ole out.
Mpira wa miguu hauna janjajanja au miujiza ya kila mechi..Mkuuuu inakuaje kama ole ataanza kushinda continues? Na akachukua ubingwa je utamsamehe?
Katika mechi tatu Ole hupata matokeo yote matatu win, draw loss.International break ndo hiyo imeisha na Ole is still at the wheel.
Sina hamasa na hii timu kabisa kwa sasa..hata nisipocheki gemu hainiumi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
NI kitu kisichowezekana ni sawa na kusema vipi mtu akifa akafufuka.Mkuuuu inakuaje kama ole ataanza kushinda continues? Na akachukua ubingwa je utamsamehe?