Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Liverpool ameshakaa pale juu ...

Man utd ameshaa kaa pale juu

Arsenal ameshakaa pale juu ...

Chelsea ameshakaa pale juu ....

Kuna timu moja tu inaendaa kukaaa pale juu kuanzia January ,na gari linaenda kuzimaa may na kuchukua epl .....
 
Siku hizi nafurahia uwepo wa international break kwa kweli, maana zamani nilikua nachukia kutoangalia timu yangu ikicheza ila kwa sasa timu za taifa zicheze hata mwezi fresh maana moyo nao unapumzika na masononeko.
 
Hvi ni kweli, ubora wa kocha unategemeana na nafasi aliyokuwa anacheza akiwa mchezaji ?Mfano

Thomas Tuchel alikua defender ndio maana anafanya vizuri kwenye upande wa ulinzi

Pepe guardiola alikua midfielder ndio maana anakichafua sana kati na anamiliki mpira sana

Nimemuangalia Antonio conte hvyo hvyo ..au mourinho au diego simeone WOTE HAO WALIKUA VIUNGO

Kwa upande wa Ole alikua forward ndio maana nyumbu hawana tatizo kwenye ushambuliaji na ndiko anafanya vizuri zaidi ...
 
Maurinho alicheza kiungo team gani?
 
Anae muaminisha Ole kuwa hata forward anaweza kuwa kocha bora ni ferguson,, kwa sababu hata yeye ferguson alikua forward ... ila nje ya hopo maforward wakiwa mamanager huwa wabovu sana ....

Tumpe muda fernando torres atakuja kuwa mbovu sana .... watu wanaoelewa kufunga tuu unawapa vipi kufundisha timu
 
Paul Pogba wants to renew his contract with Manchester United but the 28-year-old France midfielder is demanding he overtakes Cristiano Ronaldo to become the Premier League's highest-paid player. (L'Equipe, via Metro)
 
Mourinho alichezea club ipi duniani?
 
HABAR ILIOPO MANCHESTER

Sosha kaambiwa ajiuzulu ila hataki na sasa yupo kwao ila kuna kijambo kinaendelea pale OT

Game ijayo ya jmosi dhidi ya Watford mashabiki wataandamana ili game hiyo isichezwe wamekubali hata Watford wapewe points ilimradi tu sosha aondoke

Mpaka sasa manchester wanawatag makocha watatu 1zizu 2 Eric hag 3 Luis Enrique

Rio Ferdinand yuko tayari katika maandamano hayo kuungana na mashabiki ili kuinusuru manchester na kufukuzwa kwa ole

Kwa upande mwengine Edwoodward anaweza asiwe na cheo chake huenda kikachukuliwa na mtu mwengine

Kwa upande Edwin van dar Sar anaweza Kuja United kuwa mzee wa kuleta vipaji pale OT

inawezekana sosha asirudi Tena kwa taarifa zilizopo timu sasahivi yupo nayo Michael Carrick mpaka watakapoamua yao maana mashabiki washasema wataandamana na ndo mana Sosh yupo pembeni kwanza anasikiliza upepo

Hayo ndio yaliopo ila naamini kila mmoja wetu humu anatamani ifike siku ya jmosi ili ajionee kile kitachojiri pale old Trafford


NINI MAONI YAKO SHABIKI MWENZANGU
 
Aondoke tu, alichokifanya kinatosha.
Ila kuhusu hao makocha tajwa hapo juu labda huyo Tan hag, ila kuhusu Zizu na Henryque siungi mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…