Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu kocha sikuelewa kwanin walimfukuza wakati alishaanza kujenga team na watoto kibao aliwapandisha team kubwa.
Kama wanaweza kumrudisha wamrudishe ingawa ataanza upya kabisa.
 
Moyes na Ole ni takataka zililetwa na Fergie.

Huyu mzee aachane na Man Utd for good.
 
soon tunatua mzigo rohoni, kwa namna yoyote ile bwana ole inabidi akatafute ajira kwingine aachane na man u kabisa

 
Bora wamfukuze hata huyo DoF wa sasa.

Maana nae analea matatizo. Alitakiwa atoe recommendation ya kumfukuza Ole.
 
Van Gaal hawezi kurudi kirahisi hivyo.

Ile interview yake aliinyea management ya Utd vibaya sana.

Na ukiangalia structure haijabadilika mpaka leo.

Aje kufanya nini kwa management isiyompa ushirikiano?
 
ole ameshajitanabaisha kuwa yeye kwake kubeba kombe ni mwiko, refer nusu fainali na fainali ambazo tumecheza na jinsi tulivyoongoza ligi then tukaachia mwanya kiboya. hata kama brendan hatakua mzuri bila shaka ubaya wake haufiki hata nusu ya sosha, tunaweza kuwa kwenye gari bovu lile lile ila tukabadili siti kutoka mbovu mpaka nzima yenye mkanda.


kwa profile ya timu yetu sio wa kuchukua kocha huku tukitilia mashaka uwezo wake kama hali ilivyo kwa huyu bwana rodgers, lakini kutokana na u dumphead wa wamiliki wa timu na uongozi wake ambao wana ukale sana hata haya mabadiliko ambayo yanarindima kama tetesi kwetu mashabiki ni afadhali kuliko hali tuliyo nayo chini ya ole at the wheelbarrow
 
Van Gaal hawezi kurudi kirahisi hivyo.

Ile interview yake aliinyea management ya Utd vibaya sana.

Na ukiangalia structure haijabadilika mpaka leo.

Aje kufanya nini kwa management isiyompa ushirikiano?
Ed alisema anajiuzuru mbona kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…