Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pep anaforce Bisaka na Shaw warudi nyuma na kuifanya city itawale kati maana wana rundo la viungo....Ronaldo na Greenwood hawapati mipira maana wingbecks zinarudi nyuma...yaan tuna touch 3 kati ya 18 za city kwenye eneo la hatari first half....bila technical change goli zitaongezeka hapa
 
Timu inayosubiri kutegemea bahati,ngoja tusubiri hizo bahati katika dunia hi mmhh!, Hii timu siyo ya ushindani ni li timu tu la kukamilisha ratiba tu basi,watu wanacheza cheza tu na kocha naye Kama mdoli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…