Ole ni ngumu kumuelewa anataka nini, wachezaji anapewa ila hajui kuwatumia kupata matokeo.Mm alinichosha pale alipotuaminisha tuna uhaba wa right wing.
Dalot mechi ya Westham alicheza upumbavu ya EFL..na kuna game aliingia akacheza wingback ikawa utopolo..I did rather play impotent AWB kwenye hiyo nafasi,,kwanza AWB ameimprove kidogo kwenye hilo eneo na ana advantage ya kukaba..Kwa huu mfumo Sancho hana namba na muda alipewa ila kama Telles, Dalot na VDB walipaswa waanze kuwapumzisha Bruno, Shaw na AWB. Ukiachana na masuala ya rotation huu mfumo wa beki 3 nyuma unawafaa zaidi Telles na Dalot maana nyuma tayari kuna vitasa kama Varane na Baily.
Weekend tuna game ngumu sana ilifaa tufanye rotation siyo kila siku sura zilezile. Ole muoga sana wa mambo.
Cha muhimu ushindi tu leo ni vyema tumeanza na kikosi solid ila Ole ndiyo anamaliza vipaji vya hawa wachezaji.Dalot mechi ya Westham alicheza upumbavu ya EFL..na kuna game aliingia akacheza wingback ikawa utopolo..I did rather play impotent AWB kwenye hiyo nafasi,,kwanza AWB ameimprove kidogo kwenye hilo eneo na ana advantage ya kukaba..
Dalot,Telles na VdB walicheza game ya Westham ya EFL na tuafungwa..
Na mechi hii ni ya umuhimu sana kushinda otherwise tuwe njiani kuelekea Europa.
Mm kwa ss naangalia game za utd kwasababu ya cr7 tu basi.Cha muhimu ushindi tu leo ni vyema tumeanza na kikosi solid ila Ole ndiyo anamaliza vipaji vya hawa wachezaji.
Mimi akifunga huyu jamaa, hata kama Man U imeloose kidogo moyo wangu unakuwa na amani.Sitaki ujinga wa kocha umharibie CV yake uzeeni.Mm kwa ss naangalia game za utd kwasababu ya cr7 tu basi.
Conte ni 3-5-2. Hii ya Ole aendeka ni uoga, ameamua kuwapanga mabeki kibao kulonda kibarua chake.
Hesgoal.comGame channel gani wazee
Kabisa.Leo hakuna cha kambaki
Kweli timu kocha aisee.