Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu, ukijali Sana ya mitandaoni utakonda bure, kwanza watu wenyewe huwafahamu. Cha msingi wewe deal na idea yako uliyo nayo iwasilishe na maisha yasonge. Maana watu hutania kwenye nyuzi mbalimbali hata shabiki wa man u kumkuta Chelsea au kwingine ni kawaida.
 
Wewe ni kilaza tu ......

Katengeneze Uzi wako chumbani kwako hatutakuja kucomment ,lakin hapa jf tunaingia Uzi wowote ,hata moderator tunamfuata inbox sembuse nyie manyumbu......
 
Kuna kitu Conte anataka aprove kwa management yetu na doubters wake.....kazi itakuwa ndefu
 
Wakuu nawasalimia tu,
I also want to tell you that, I wish your spike of euphoria to continue to night, and if possible reversion to the mean to be delayed at least for one more week.
 
Sancho si kashapewa gametime anaruka ruka tu..au unataka kumsemea VdB?..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa huu mfumo Sancho hana namba na muda alipewa ila kama Telles, Dalot na VDB walipaswa waanze kuwapumzisha Bruno, Shaw na AWB. Ukiachana na masuala ya rotation huu mfumo wa beki 3 nyuma unawafaa zaidi Telles na Dalot maana nyuma tayari kuna vitasa kama Varane na Baily.

Weekend tuna game ngumu sana ilifaa tufanye rotation siyo kila siku sura zilezile. Ole muoga sana wa mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…