Kauli za sapotii... Izoo... Nileteeeni.Wee ni mwanaumee.Huenda hata demu wako Sijui mkeo wanakugongea maana unapenda sapoti saana.Pambana ww kama weweee... Sapoti ya Nini.??Nileteeni shabiki mwingine wa Liverkuku siyo hii takataka...
Tt hajaanza Kuwa TT akiwa Chelsea,kwanini akiwa Chelsea??Mimi nimezungumzia battle ya TT na Tuchel wakati tuchel yupo Chelsea...
Huna hoja.kama ndo Shughuli Yako usidhani ni woteee maana mpakA kuizungumzia,Sio habaa! Endelea kugawa TU.Tako ni lako.Si Unaona dili.Unapenda sana kugawa tako inaonekana.
Wewe ulitaka akiwa wapi?
Unaonekana unapenda sana maana huachu kuyataja... kama wanakupakua zungumza mapema vijana wachangamkie fursa humu.Huna hoja.kama ndo Shughuli Yako usidhani ni woteee maana mpakA kuizungumzia,Sio habaa! Endelea kugawa TU.Tako ni lako.Si Unaona dili.
Sent using Jamii Forums mobile app
JF hakuna mchujo wa takataka ndio maana hata watu kama wewe mpo humu.Kauli za sapotii... Izoo... Nileteeeni.Wee ni mwanaumee.Huenda hata demu wako Sijui mkeo wanakugongea maana unapenda sapoti saana.Pambana ww kama weweee... Sapoti ya Nini.??
Taka taka Tangu linii ikawa jf,ulivyo kichwa boksi,,Unabwabwaja tuu inmradi
Sent using Jamii Forums mobile app
Battle ni TT vs Pep kama makocha.Wakati Wana meet against! Ovaaa.Wewe ulitaka akiwa wapi?
Huna hojaa,una Tafuta sapoti TU,Pita kushotooo...JF hakuna mchujo wa takataka ndio maana hata watu kama wewe mpo humu.
Ila unfekuwepo mchujo usingekuwepo humu wewe.
Hizo takataka zako ndio hoja?
Ndio maana nikasema hiyo ni bato yako... usiforce bato iwe hivo.... mimi maswali yangu hayakuwa hivo....Battle ni TT vs Pep kama makocha.Wakati Wana meet against! Ovaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa chako ni boksi, Kiko empty.Akili zako ziko matakoni(Kinyesi).Nikufafanulie ulikuwa huelewi nachomanisha unafikiria kutumia matako,maNa ake kichwa chako hakina kitu ILa kwenye matako Kuna Kinyesi ndicho unacho tumia.Acha kubwabwaja,Kunywa maji ya KUTOSHA UBONGO ufanye kazi vizuri.Unaonekana unapenda sana maana huachu kuyataja... kama wanakupakua zungumza mapema vijana wachangamkie fursa humu.
Unavyo Tafuta sapoti na kampani kutoka mwingine ndo hojaaa.Poleee... na ww Sio ww,Hizo takataka zako ndio hoja?
Sapoti ya nini?Unavyo Tafuta sapoti na kampani kutoka mwingine ndo hojaaa.Poleee... na ww Sio ww,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nikasema unaonekana unapenda kupakuliwa... Tangaza tu humu nyumbu zichangamkie fursa....Kichwa chako ni boksi, Kiko empty.Akili zako ziko matakoni(Kinyesi).Nikufafanulie ulikuwa huelewi nachomanisha unafikiria kutumia matako,maNa ake kichwa chako hakina kitu ILa kwenye matako Kuna Kinyesi ndicho unacho tumia.Acha kubwabwaja,Kunywa maji ya KUTOSHA UBONGO ufanye kazi vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya hawa chawa ni kuwaweka kwenye block/ignore kimya kimya.Kuna muda mwingine muwe mna Heshima hata kidogo basi Mervin 42774277 Maana sioni kama ina sense Nyie sio Shabiki wa Manchester United kinachofanya kuja kwenye UZI WETU tena Mmetanguliza na hivyo Vitambi vyenu na videvu vyenye NDEVU huku mkiwa mmejibebesha na Vyeo cha U BABA mnachokuja kukizungumzia sasa yani wangejua hata watoto wenu wangewachapa hata Viboko yani ni kuendeshea MIJADARA yenu,kuhusu Timu zenu,tena MIJADARA yenyewe haina tija yeyote kwa upande wa Mashabiki wa Manchester United utakuta Posts ni nyingi ila ukiingia ni Posts za Kuzomea,Kubishana kwa Lazima vitu mnavyovijua yana ilimradi tu muonekane na Leo mpo.
Mfano haya maJibizano yenu Leo nimekuta Newest Posts 67 nikajua kuna vitu vya muhimu wadau wameongerea kuhusu Timu labda hata OLE SENDEKA kafukuzwa ila nakutana na kitu cha Ajabu kabisa nikuwa hakuna Cha maana Kilichozungumzwa na waliozungumza Sio Shabiki wa Manchester United bali ni VYIAWA wa OLE na majibizano yanahusu tinu zao,kitu ambacho kinaonyesha kabisa ni Dharau na kutuchukulia Poa Kwamba hatuna cha kuwafanya.
Hivi kinacho shindikana nini mngejuwa mna Bebana mnaenda kwenye Nyuzi ya Mmoja kati yenu Kama ni Nyuzi ya CHELSEA ama MANCHESTER CITY mkajaze vizuri hizo Post zenu na Mabishano yenu yasiyo na Faida kwetu maana naona ni kero tu,PIA mnapaita huku UNYUMBUNI lakini sioni kama kuna mmoja kati yenu ambae anaweza kuishi Jamii Forums bila kupita huku UNYUMBUNI ama panawanogesha nini tupeni siri ili na sisi tutoke humu tukakeshe kwenye Nyuzi zenu.
NOTE:NILIYOYASEMA HAPO JUU SIO TU KWA HAO WAWILI NILIO WATAJA BALI NI KWA KILA AMBAE ANAJUA SIO MUHUSIKA WA HUU UZI(TIMU PINZANI), HATUKATAZI MTU KUTOA MAONI ILA TUNACHOTAKA NI UTULIVU NA MTU KU BEHAVE KAMA MTU MZIMA NA MUACHE KUJIAIBISHA KWA LUGHA CHAFU.
Gpili uje hapa Ndugu kuna watu wanasumbua Ninaonaga wewe ndio Dawa Yao.
manutd |
#GGMU