Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Wewe game 10 unaanza kupita na kanga moja umeilowesha Kama mama j ....Ndio maana nilisema toka mwanzo kwamba wewe ni kichwa maji....
Swali kuhusu tuchel na gurdiola niliuliza wamekutana mara ngapi toka tuchel aje epl?
Kama haya mambo madogo yanakushinda kuelewa basi una tatizo kubwa...
Swala la idadi ya mechi UMELISEMA wewe Kwa tafasiri zako finyuu.Mm sijalizungumzia Hilo.Kwa hiyo watu wakicheza games 6 wanakuwa wamekutana mara 3?
Jamani hili jukwaa huyu mtu mlimuokota wapi?
Hebu kaangalie picha yako uliyopost.
Hahaaa ,Mimi nishavunja hilo daraja la Stamford bridge ,nakusubili Tena geto uje na kanga moja ,.....Hahahah.... Nimekubamiza mara tatu... na saiv wewe watoto wanajipigia tu.... week ijayo tena manyumbu yanajipigia wewe... tupo humu ndani...
Wewe kinabo wa Chelsea huna hoja ,kalale .....Ukichwa maji wako ndio unaingia hapo....
Uliletaje kitu ambacho hakipo kwenye mjadala?
For real we ni kichwa maji.
Huelewi kichwa boksi ww,Battle ni TT na Pep. TT ni underdog Kwa pepNdio maana nilisema toka mwanzo kwamba wewe ni kichwa maji....
Swali kuhusu tuchel na gurdiola niliuliza wamekutana mara ngapi toka tuchel aje epl?
Kama haya mambo madogo yanakushinda kuelewa basi una tatizo kubwa...
Umepost picha inaonesha match 6 halafu unasema suala la match 6 nimeleta mimi?Swala la idadi ya mechi UMELISEMA wewe Kwa tafasiri zako finyuu.Mm sijalizungumzia Hilo.
Afu mazungumzo ni Kati yangu mm na ww.Izo jamani,Nyie za Nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah.... Acha watoto waendelee kujipigia kadri ya uwezo wao.Hahaaa ,Mimi nishavunja hilo daraja la Stamford bridge ,nakusubili Tena geto uje na kanga moja ,.....
Mods njoo mtoe huyu kiazi ,anajaza severs za jf ,...!Umepost picha inaonesha match 6 halafu unasema suala la match 6 nimeleta mimi?
Hiyo battle ni ya kwako wewe kichwa maji....Huelewi kichwa boksi ww,Battle ni TT na Pep. TT ni underdog Kwa pep
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah huo ndio msaada wako pekeee.... Huu msimu ukae kwa kutulia maana westham anaimendea hiyo nafasi yako... .Mods njoo mtoe huyu kiazi ,anajaza severs za jf ,...!
Westham anaimendea hiyo nafasi yako ukija kushtuka upo nafasi ya 10Wewe kinabo wa Chelsea huna hoja ,kalale .....
Wewe nishajipigia mara 3 mwaka huu kila ukija geto ni kukupelekea moto tu... Huna cha kuniambia...Wewe game 10 unaanza kupita na kanga moja umeilowesha Kama mama j ....
Sisi tutakupelekea Moto .....
Hujui kujieleza ww kama ww mpakA kampaniii... Polee kichwa boksi,,,,Kila unacho kiandika unatafuta ka sapoti flani, usaidiwe.Hiyo battle ni ya kwako wewe kichwa maji....
Izoo tatu zoote ulizo mpiga Moja TU ambayo ni fainali.ndo iliyo leta matunda Tuu.Wewe nishajipigia mara 3 mwaka huu kila ukija geto ni kukupelekea moto tu... Huna cha kuniambia...
Yeye alizonipiga zilileta nini?Izoo tatu zoote ulizo mpiga Moja TU ambayo ni fainali.ndo iliyo leta matunda Tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeliwasha mwenyewee ,umeshindwa kulizima.Hukumbuki hata battle ya TT na Pep imekujaje,Saivi umegeuzaa hiyo battle yangu.Endelea kuforce support na kujichekeshachekesha,,Hiyo battle ni ya kwako wewe kichwa maji....
Nileteeni shabiki mwingine wa Liverkuku siyo hii takataka...Hujui kujieleza ww kama ww mpakA kampaniii... Polee kichwa boksi,,,,Kila unacho kiandika unatafuta ka sapoti flani, usaidiwe.
Izo jamani zako,Oneni huyu,Toeeni huyu,
Nakupa polee Kwa mara nyingine.Acha kuforce support,pambana ww kama weweee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ujiulizee... wewe... Maana unabwabwaja TU bila brake na kufikiria ,unafikiria Kwa kutumia matako.Kichwa ni boksi.Yeye alizonipiga zilileta nini?
Mimi nimezungumzia battle ya TT na Tuchel wakati tuchel yupo Chelsea...Umeliwasha mwenyewee ,umeshindwa kulizima.Hukumbuki hata battle ya TT na Pep imekujaje,Saivi umegeuzaa hiyo battle yangu.Endelea kuforce support na kujichekeshachekesha,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapenda sana kugawa tako inaonekana.Ndo ujiulizee... wewe... Maana unabwabwaja TU bila brake na kufikiria ,unafikiria Kwa kutumia matako.Kichwa ni boksi.
Sent using Jamii Forums mobile app