Huyo cr7 kaja kuharibu team ilivokua
Kwa sasa tunamuhitaji zaidi cavani kuliko huyo cr7
Cr7 angeenda strong established teams ambazo zipo strong midfield kushuka mpaka defence mf: man city
Cr7 huyu anakuja kujaza overload kwa kina MCfred ambao watu wenyewe ni tia maji
Quality ya wachezaji wetu wengi ni poor kiasi inabidi team icheze kwa umoja ili tupate matokeo hatuna wachezaji wenye extras kuweza kumuaccomodate ronaldo ambae kwa sasa anategemea team imlishe zaidi kuliko kujitafutia
Kuna uwezo wa kucheza 4,4,2 na cavani aka fit fresh hapo mbele na babu cr7
Mzee afu sijui unajikuta guru wa mpira saaana
Embu tulia basi
Mpiraa wa wotee huu
Haukuzaliwa uutolee maoni tu wewe