Everyone wants Ole to go but wishing the club you support to lose just for Ole to be sacked sooner it's wrong. If we lose all the 3 games the board gave Solskjaer to secure his job then it'll be more likely to go another trophyless season, now which fan needs to see failure of his club by his own wish? A plastic fan I would say.Yeah to each and their own thoughts
Call me plastic but i'm sick of four defenders playing like "introduce yourself to each other" session at nursery school
The team needs a new coach
I'd rather take one loss for future wins rather than hizi homa za vipindi za hii timu
Kununua mtu anaweza sajiliwa na asifanye vizuri ipo kote, liver walimnunua takumi mbona yupoyupo tu? Chelsea wamenunua simtank mbona hawamdharau? Kwahiyo sancho ni kama hizo sajili nilizosema hapo, kikubwa ole hawezi kufundisha man uIngekuwa Liverpool wana mitazamo ya aina hii walipofungwa 7 kwa mbili na Aston Villa leo wangekuwa walibadilisha kocha.
Manutd wamebadilisha makocha sasa 3 lakini hakuna mabadiliko tatizo ni usajili. Wananunua wachezaji wasio na tija. Sancho sijui walimnunulia kwa nini wakati kiwango chake kilianza kushuka muda mrefu sanaaaaaaa
Mzee naelewa si sahihi ila sasa kama ulivosema.....hata nikisema tushinde na bado tutafungwa point itabaki ile ile kwamba kocha atabidi aende tu....hata ukiwa na hope ya kushinda ni kama utakua na false hopes kwa sababu timu yenyewe uchezaji wake wa ajabu ajabu...Everyone wants Ole to go but wishing the club you support to lose just for Ole to be sacked sooner it's wrong. If we lose all the 3 games the board gave Solskjaer to secure his job then it'll be more likely to go another trophyless season, now which fan needs to see failure of his club by his own wish? A plastic fan I would say.
Just support the club and the gaffer you never know he would stay here till the end of the season.
'After a storm comes a calm.'
dumu limemeza guduliaπOle Gunnar Solskjaer meets with Klopp. He asks him, "Your team wiped the floor with us 5 - 0 I cant get over it, how do you run such an efficient team? Are there any tips you can give to me?"
"Well," says Klopp, "the most important thing is to sign intelligent players."
Solskjaer frowns. "But how do I know the players in my team are really intelligent?"
Klopp says. "Oh, that's easy. You just ask them to answer an intelligence riddle."
Then Klopp phones Mo Salah. "Please Join me and Solskjaer in here, would you?"
Salah walks into the room. "Yes, boss?"
Klopp smiles. "Answer me this, please, Mo. Your mother and father have a child. It is not your brother and it is not your sister. Who is it?"
Without pausing for a moment, Mo answers, "That would be me."
"Yes! Very good," says Klopp.
Back at Old Trafford, Ole gunnar Solskjaer asks to see Harry Maguire.
"Harry, answer this for me. Your mother and father have a child. It's not your brother and it's not your sister. Who is it?"
"I'm not sure," says Harry. "Let me get back to you on that one."
Harry goes to to the whole Man Utd squad and asks everyone he can find, but none can give him an answer. Finally, on the way out he bumps into Paul Pogba
Harry says, "Paul! Can you answer this for me? Your mother and your father have a child and it's not your brother or your sister. Who is it?
Paul Pogba says, "That's easy. It's me!"
Harry says. "Thanks!" and goes back to the Managers Office to speak with Ole gunnar Solskjaer.
Harry Says, "I did some research I asked the whole team and I have the answer to that riddle. It's Paul Pogba."
Ole gunnar Solskjaer, stomps over to Harry Maguire, and angrily yells into his face, "No, you idiot! It's Mo Salah!"
Manchester city Ronaldo angesugua benchi mpaka akili imkae vizuri. Watu kama kina mahrez wanakaa nje huyo kibabu Panadol ndio apate namba?Sasa Ronaldo angeenda wapi? Maana ameona sehemu ya kumalizia mpira na kula mafao ya uzeeni ndio pale, aende wapi tena?
Huko uarabu kaogopa kwenda kuhofia watu watamsahau kwa sababu swahiba wake Messi bado yupo ulaya.
Ukiacha uarabuni sijaona timu nyengine ambayo ingeweza kumchukua kwa kiwango chake cha sasa.
Mfano mzuri, Man City walikuwa na uwezo wa kumchukua lakini Pep alikataa katakata kuingiza mizigo kwenye timu yake.
Duh, cr7 ameanza kukanwa mara3 kabla jogoo kuwika!Huyo cr7 kaja kuharibu team ilivokua
Kwa sasa tunamuhitaji zaidi cavani kuliko huyo cr7
Cr7 angeenda strong established teams ambazo zipo strong midfield kushuka mpaka defence mf: man city
Cr7 huyu anakuja kujaza overload kwa kina MCfred ambao watu wenyewe ni tia maji
Quality ya wachezaji wetu wengi ni poor kiasi inabidi team icheze kwa umoja ili tupate matokeo hatuna wachezaji wenye extras kuweza kumuaccomodate ronaldo ambae kwa sasa anategemea team imlishe zaidi kuliko kujitafutia
Kuna uwezo wa kucheza 4,4,2 na cavani aka fit fresh hapo mbele na babu cr7
Mzee afu sijui unajikuta guru wa mpira saaana
Embu tulia basi
Mpiraa wa wotee huu
Haukuzaliwa uutolee maoni tu wewe
High press kwetu haitofaa akiwepo ronaldo mbele ....Msifikili Liverpool kuwapiga goli tano ,ndio kigezo cha kushinda kesho ...
Kama wachezajia hawatajituma ,kukimbia ,high pressing na zile back line zenu zimezotepeta Kama chapati za maji ,Spurs anawapiga goli za kutosha tu ,football haina huruma ....
Hapana mzee katika mpira inabidi tuwe wakweli na tuache danganya toto za kipuuziDuh, cr7 ameanza kukanwa mara3 kabla jogoo kuwika!
Andy carroll????Wakuuuu...... Sosha asipopata kiungo mathew flamini au Dany Drinkwater wa kusaidiana na matic pale katikati tumekwisha.
Suala la kumchukua Andy Carol kwa mkopo ni muhimu.
Matic ambaye leo sijui kama hata ataanzaWakuuuu...... Sosha asipopata kiungo mathew flamini au Dany Drinkwater wa kusaidiana na matic pale katikati tumekwisha.
Suala la kumchukua Andy Carol kwa mkopo ni muhimu.