Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi hawa wanaosema Ole amepewa muda wa kuturn things around wanakuwa wana maana kuwa Ole abebe EPL au Champions League au huko kuturn things around ni kufanyaje?.au ni kushinda mechi mbili tatu zijazo then kuendelea na utaratibu wake wa kawaida wa kungata na kupuliza?
 
Mi sijui wanataka nini hao watu wanaomtetea

Kwenye defensive stats pale kuna sehemu kama mbili hivi man u ni ya 20 hivi kweli man u ni timu ya kuwa ya 20 kwenye stats yoyote ile?

Sahvi tupo sawa na arsenal points
Na arsenal wametoa thumni ya usajili compared na sisi but improvement is massive
Ole is busy trying making mCfred to work
Trying to make players his friends and not his boys.....
Hana hata uhakika na first team yake ya kila siku
Wachezaji wote aliowasajili wachache ndo wameleta results kwanza nahisi ni mmoja tu kwanza ambae ni bruno sijui

Hivi sasa tumekua desperate nahisi hata koeman akija man u watu wanaweza shangilia maana tuna poor team ambayo kila mtu anaishangaaa

Kuna majamaa youtube wanaitwa tifo irl wanakwambia man u basicalli tunacheza 4_2_4 na hao wanne wote wa mbele hawatrack back na hao wingbacks nao hawajui kujiposition AWB ndo kabisaaaa wanaona hata hafai kuwa mchzaji maguire acts like yupo sunday league....
Anyway mkuu kwa sasa nimepumzika mpaka pale atakapokuja mtu mwengine aseee kwa sasa

Ole match ya liverpool naskia aliwaambia watu wapress eti
Una press una 37yr old person mbele na mtu kama bruno na greenwood na rashford ambao wote hawapress bali wanasindikiza mpira kwa macho...mwisho wa siku wachezaji sita tu ndo wanapress wengine ni mafaza wanangoja waletewe tu

This team is dead kuna wachezaji wengi wangeachwa tu waende
 
4-2-4..hao wanne wanakabia tu macho na shida inaanzia hapo..na Ole ameshindwa kutambua hata hilo...And i'm wondering ni kwa nini hard working Cavani ananyimwa gametime kiasi hiki.

Tutafungwa sana this season kama hatutaleta benchi jipya la ufundi..
 
Hivi hawa wanaosema Ole amepewa muda wa kuturn things around wanakuwa wana maana kuwa Ole abebe EPL au Champions League au huko kuturn things around ni kufanyaje?.au ni kushinda mechi mbili tatu zijazo then kuendelea na utaratibu wake wa kawaida wa kungata na kupuliza?
Ndo mimi sijaelewa pia tangu lini ukanenepesha ngombe siku ya mnada. Sababu hata akiwafunga tottenham ambao pia ni tia maji mbele tutarudi palepale tulipoanzia.
 
Brendan Rodgers has emerged as a potential replacement for Ole Gunnar Solskjaer as Manchester United manager should the Norwegian be sacked. (Source: ESPN)

manutd |
#GGMU
IMG_20211029_120241_466.jpg
 
4-2-4..hao wanne wanakabia tu macho na shida inaanzia hapo..na Ole ameshindwa kutambua hata hilo...And i'm wondering ni kwa nini hard working Cavani ananyimwa gametime kiasi hiki.

Tutafungwa sana this season kama hatutaleta benchi jipya la ufundi..
Lakini Spurs tutawafunga. Mechi na Liverpool Cavani asingeweza kuzuia kufungwa ila Dalot angeweza
 
Hivi hawa wanaosema Ole amepewa muda wa kuturn things around wanakuwa wana maana kuwa Ole abebe EPL au Champions League au huko kuturn things around ni kufanyaje?.au ni kushinda mechi mbili tatu zijazo then kuendelea na utaratibu wake wa kawaida wa kungata na kupuliza?
Ingekuwa Liverpool wana mitazamo ya aina hii walipofungwa 7 kwa mbili na Aston Villa leo wangekuwa walibadilisha kocha.

Manutd wamebadilisha makocha sasa 3 lakini hakuna mabadiliko tatizo ni usajili. Wananunua wachezaji wasio na tija. Sancho sijui walimnunulia kwa nini wakati kiwango chake kilianza kushuka muda mrefu sanaaaaaaa
 
Aina yako ya mashabiki nina hakika ni wale ambao huwa hamuangalii games za Manchester United full time badala yake munaangalia highlights

Ishu si kuwa unabadilisha kocha now and then ishu ni Ole hana uwezo wa kuipa mafanikio Manchester United, kwasasa No even in the future. Timu yetu Manchester United si ya kugombania nafasi ya pili sijui top 4, Manchester United ni timu ya kuchukua trophies na mafanikio Mengine

Kuna video niliweka last week kamsikilize yule bibi anajua mpira kuliko wewe kuna kitu uta learn
 
Back
Top Bottom