Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama ilishabeba shida ipo wapi? Manchester city hawakukata tamaa miaka 80 wanazama wanaibuka hadi mwarabu kaokoa jahazi kwa mbindeeee

2007 wamepanda daraja ujue
Mwache abwabwaje TUU... Atanunua sana wachezaji wa M 100 uefa ataisikia KWENYE bomba
 
Bruno ni mchezaji mzuri lakini weakness yake kubwa anafanya timu ishindwe kuretain possession kwa sababu anapoteza mipira sana.

Ukiwa na David Silva vs Bruno probably mwalimu mzuri atamprefer David Silver kuliko Bruno.
 
Bruno wkt anakuja hakuwa na tatizo hili, wengi tulimuona ni master wa passes za macho lkn baada ya kuadapt mbinu za kocha bora duniani ndo amekuwa hivi.
 
Kama ilishabeba shida ipo wapi? Manchester city hawakukata tamaa miaka 80 wanazama wanaibuka hadi mwarabu kaokoa jahazi kwa mbindeeee

2007 wamepanda daraja ujue
Hujielewi wewe ,hivi unafuatilia mpira upi kenge wewe
 
Mimi najua timu moja tu dunian......

Manchester city ...

Hizi takataka nyingine zikapoteleee mbali...
Man city sawa na Azam bongo.Hazina fans,Fans wake wahamiaji.Sawa na jitu lijitokeze Kwa Sasa kusema nili fan la West ham baada ya kuanza kufanya vizuri.Rubbish
ndo sawa na weweeeee....
 
Man city sawa na Azam bongo.Hazina fans,Fans wake wahamiaji.Sawa na jitu lijitokeze Kwa Sasa kusema nili fan la West ham baada ya kuanza kufanya vizuri.Rubbish
ndo sawa na weweeeee....
Unataka kusemaje Sasa ,kupigwaa miti au ,sikuelewi msee
 
Nimeishia apo uliposema McTominay is Superb..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…