😔😔😔Daemusin Chief Mkwawa nafikiri hoja zangu namba 5 na 6 zimeanza kutupa majibu mapema sana.
Pamoja na mapungufu yetu ya kocha na kukosa muunganiko wa maana Ronaldo kwenye kikosi chetu ni tatizo la tatu.
Nimeacha rasmi kuangalia match za Man United toka game ya Leceister City.
Kama Chusa alishaacha kuangalia mimi ni nani ???
Hakuwepo mwaka jana na tulifanya ujinga tu, wewe mkuu unataka kulazimisha msimamo wako wa cr7 hafai ili ionekane ulikuwa sahihi lkn nakwambia haukuwa sahihi na hautokuwa sahihi.Achana na upuuzi wa Rashford tatizo la Ronaldo linatuathiri tactically uwanjani pamoja na kucheza pungufu.
Namkumbuka hata mm..tena akajinasibu kua shida ni Winger iyo...lkn leo hii Kocha alivo akil ndogo anaenda kuua kbs kiwango cha Sancho..yan Nikumuangalia DVB nataman kulia nikiona Ajax yake ilivo ya moto na yy hayupo i just wish angekua bado ajax team yao ingeenda mbl tena...Yan Wanaodhan Ole ana akil timamu ya mpr sijui wanaangalia mpr gn...Ole ni mzee wa kungata na kupuliza ana buy time na wapumbav wanafiki wanaomuweka ni class ya 92 hao ndo wajinga no.1...Man u wana safar ndef sana vichapo vitawahusu ving na huu ni mwanzo..sisi wa team mpinzan raha sana wafungweKuna binadamu humu aliwahi kusema tukimleta Sancho tatizo la winger litakuwa limekwisha na kombe tunabeba.
Ole : ‘Hey Mike, the cameras are on us. Let’s pretend like we are talking tactics.’View attachment 1981297
Nilimwambia kama kocha ni ole hakuna cha maana hata tumlete messi na ronaldo kwa pamoja.Namkumbuka hata mm..tena akajinasibu kua shida ni Winger iyo...lkn leo hii Kocha alivo akil ndogo anaenda kuua kbs kiwango cha Sancho..yan Nikumuangalia DVB nataman kulia nikiona Ajax yake ilivo ya moto na yy hayupo i just wish angekua bado ajax team yao ingeenda mbl tena...Yan Wanaodhan Ole ana akil timamu ya mpr sijui wanaangalia mpr gn...Ole ni mzee wa kungata na kupuliza ana buy time na wapumbav wanafiki wanaomuweka ni class ya 92 hao ndo wajinga no.1...Man u wana safar ndef sana vichapo vitawahusu ving na huu ni mwanzo..sisi wa team mpinzan raha sana wafungwe
Mechi ya Benfica vs Bayern bonge la mechi aisee.
Unataka kumuuzi PTER [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lendlof ni majanga
0:1Ngapi ngapi?