Wachezaji utd hawajui kukaba.Hata huyo DM akifika HATA kaba yeye TUU mipira yotee.Ajax anacheza vizuri mpaka naona wivu na hamna world class players pale hawana majina ila manchester kucheza vizuri wanasema mpaka tupate DM World classwallahi Dunia hii.
Team Ole hawawezi kukuelewa hapa.Kuweka kumbukumbu sawa mechi ya man utd dhidi ya young boys,kuna watu walisema red card ya bisaka ndio ilitutoa mchezoni lakini angalia atletico hii leo tangu dakika 53 amecheza na liverpool kama katimia vile.
#Ole out please
Kwa sasa team Ole amebaki mwanaspotiapp na Chief peke yake.Team Ole hawawezi kukuelewa hapa.
Na si umeona Kaze amerudi kuwa msaidizi?..angekuwa anajua asingerudi yanga kuwa msaidizi.Timu kocha bhn asikuambie mtu, mifano hai ipo mingi, hata hapa bongo tazama Yanga ya Kaze na ile ya yule mzungu ni tofauti kabisa japo wachezaji walikuwa wale wale.
Mzee Fred anafurukuta katikati ya kina Casemirro,Fabinho na wakati mwingine Marguinho's..akija united anakuwa average most of the time.na ndio maana humuweka nje fabinho au casemiro.
View attachment 1980035
Mkuu kwa tafsiri ya hilo neno Sucked dahKwamba OLE SUCKED
Jamaa kapiga kwenye kidondana ndio maana humuweka nje fabinho au casemiro.
View attachment 1980035
Na kamtia dortmund 4 tena bilaAjax anacheza vizuri mpaka naona wivu na hamna world class players pale hawana majina ila manchester kucheza vizuri wanasema mpaka tupate DM World classwallahi Dunia hii.
Wamekubali bana yaisheee...!So vipi jumapili mtacheza na sisi. Ama mmekubali yaishe tupewe point zetu tatu
Kwa red card mtapewa point tatu zenuSo vipi jumapili mtacheza na sisi. Ama mmekubali yaishe tupewe point zetu tatu
Nyie matakataka tu juu msimu hata kombe la mbuzi hamubebi.Wewe Chelsea una Nini kenge wewe
Epl Kuna timu mbili tu ...
Liverpool & man city ...
Chelsea ni kilaza tu anayeongoza mid -term test ..
Team yenu imejaa wachezaji wavivu kweli kweli wazuri wàkiwa na mpiraAjax 4 - 3 - 3 yao ipo vizuri sana Eric ten hag nimeona kwanini baadhi ya mashabiki wa manchester united wanamtaja sana...... Yupo vizuri sana je yupo tayari kwa kazi ya kuifunza timu yetu, Sina hakika na siwezi mhukumu ila ni kocha mzuri sana....