Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mshangao wangu ulikuja baada ya kuona Maguire karudi second half nikasema Ole muoga sana wa maamuzi.

kama anavyoogopa timu pinzani kwa kuweka timu yake nyuma ndo anavyoogopa kuwakera wachezaji wake, ilibidi aende nje mapema sana maana alishaonyesha kwamba hayuko fit kabisa yani tunatia huruma.
 
sasa hivi tunabeti GG zetu uhakika unatia mzigo Ole shwaini
 
Hata Brighton wanatumia 3-4- kwenye build up play, leicester walitumia 3-2- vs united. Mikel & Ole's system 4-2-3-1 inaonekana kwa sasa haijaAdapt against team zinazobuild up na back 3
Ronaldo na Maguire kwenye mechi ya Leceister ndiyo waliotucost.

Ronaldo alikuwa hafanyi pressing na alipoanza kufanya pressing ni kama akafungua passing lanes za uwanja mzima Leceister wakawatawala Pogba na Matic.

Maguire hakuwa na game fitness so ni kama tulikuwa pungufu uwanjani alifanya two individual errors tukafungwa goli la kwanza na goli la nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…