MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,291
- 2,368
Jamii forums bhn, jamaa hajui kingereza kabisaKUMFiRE au kumfiraaa
Nakunya toka mnazi Hadi postanawahakikishia kikosi hiki hiki akipewa kocha mwenye akili timamu mnachukua EPL.
Meza na wembe mkuu🤣🤣🤣
Ronaldo mtoe hapo kwenye hilo kundi, yeye ni finisher ambaye kazi yake ni kumalizia na kurekebisha makosa ya fowadi yaliyokuwa yanatu cost huko nyuma na co kukaba, shida ni kwamba timu nzima haichezi vzr, huyu ronaldo kama angeenda City mpk ss angekuwa mbali sn kimagoli.Ronaldo na Pogba wakiwemo team inacheza kama tuna upungufu wa wawili.
Ole huwezi kuwachezesha wachezaji wawili ambao hawana majukumu ya kuisaidia team hasa inapokuwa haina mpira.
Ronaldo mtoe hapo kwenye hilo kundi, yeye ni finisher ambaye kazi yake ni kumalizia na kurekebisha makosa ya fowadi yaliyokuwa yanatu cost huko nyuma na co kukaba, shida ni kwamba timu nzima haichezi vzr, huyu ronaldo kama angeenda City mpk ss angekuwa mbali sn kimagoli.
HahahahajOle is the man for the job
He needs at least 5 more years to build a solid team like Klopp
We Man Utd fans trust his tactics and love him so much
Pole Mangi. Nakungoja next Sunday.He has to go before the Liverpool game. It’s getting ridiculous. World class players playing like an uncoached Sunday league team.
the goal for 3-2 says everything. Shambolic.
De Gea licha ya kupigwa goli 4 bado yeye ndo Man of the Match kwetu,hii inaonyesha ni kiasi gani hii timu inacheza utopolo.
Ole has to go now.
The slab head ,ndonga magwayaNdo huyu Maguire kuna mtu humu ndani alikuwa anamfananisha na VVD.
Chalii umeona mambo yangu? Umemuona Mudi?Kazi iendelee