Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man United lose to Leicester City

Their next five fixtures:

Atalanta (H)
Liverpool (H)
Tottenham (A)
Atalanta (A)
Man City (H)
 
OGS kama kweli anaipenda United huu ni wakati muafaka kwake kujiuzulu,tulishasema hii timu haiwezi
Mtani wa siku nyingi. Ole at helm.... Mna wachezaji wazuri lakini mnaangushwa na kocha. Sisi hatuna hata kimoja kizuri tupo tunapostahili kuwepo
 
Right now, Manchester united is the best club in the world🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩
 
Sio ole tu kiufupi benchi zima la ufundi halitakiwi kuwepo pale
Shida ile team wanaishi kwa kujuana sana ngoja wapigike watatafutana
 
I can even sacrifice eating than missing this season's man united's game, very interesting😁😁😁
 
Msitegemee mafanikio yeyote kwenye ile team kwa aina ya mfumo wa kuishi kwa kujuana na kupeana vyeo uliopo pale

Nliposikia tu yule mzee Phelan kaongeza miaka minne nikajua tu hii team ya kishkaji sana

Kwanini team iendekeze mambo ya culture,marasta wale?
Benchi zima la ufundi wote hawatakiwi kuwepo pale,sio akina carrick wala nani

Afu ferguson pia anaharibu hii team yeye pia ndio anachangia huu ujinga wa kuweka watu anaotaka yeye pale

Zama zake zimeshaisha yeye abaki kama shabiki tu
 
Ole is the man for the job
He needs at least 5 more years to build a solid team like Klopp
We Man Utd fans trust his tactics and love him so much😎
 
Maguire either hajapona au kacheza bila ya kufanya mazoezi yoyote na timu, na hili kalionyesha kuanzia dakika ya 1 mpaka mwisho ila kwakuwa tunakocha kilaza kamuacha tu uwanjani
Maguire jana kafanya mazoezi ya ushindani kwa mara ya kwanza na wenzie Ole mwenyewe alithibitisha jana kwenye press alafu leo amecheza....

Ole anategemea experience ya wachezaji wenyewe imbebe.....

Hamna press amewahi kuzungumza mambo ya tactics iwe baada ya game au kabla ya game hajawahi kabisa yeye utasikia ile ilikuwa penalty tumenyimwa mara goli tulilofungwa lilikuwa offside etc.......

fatilia press za makocha wengine unaona kocha anafunguka wamefungwa sababu wamejaribu formation mpya ili kuziba pengo la mchezaji fulani....

Ila sio sisi mara the boys did well, Aston villa player wjo scored was in an offside position, looking to the next game na blah blah nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…