Manchester United (Red Devils) | Special Thread

TeamUnited!!!

Thanks Nzi kwa updates. PamojA sana!

Karibu....#ManUnited bana, utaipenda....maana pundits UK walikuwa wanasema hawaoni ni jinsi gani United watapata matokeo mazuri hapo Ujerumani....

Lakini hadi HT, United 2 Leverkusen 0, kwao
 

Attachments

  • 6b30eef4d2d33f864b381db0a25c5a6c.jpg
    40.3 KB · Views: 53
  • 4a6ea533d916787472e2be6fb274d554.jpg
    46.5 KB · Views: 50
Last edited by a moderator:
1st half performance was top class, one of our best in this season....

Kagawa na Giggsey are bossing the mid

Let's kill the game in the 2nd half....

Twende sasa #United
 
......Ferdinand, Giggs & Nani need to sharpen their edge in performance.
 
Belo Nzi
nimesikia habari sina uhakika timu lenu lilipata matatizo kutuwa kwenye uwanja wa ndege huko Ujarumani tafadhali ulizia kama ni uhakika

Hapana ila zile zilikuwa mbwembwe na itikad za wa wekundu kuwa bahatisha leverksen ni nusura tu tena babu yupo uanjani na anaday off myes atakomaje....😱
 
Hapana ila zile zilikuwa mbwembwe na itikad za wa wekundu kuwa bahatisha leverksen ni nusura tu tena babu yupo uanjani na anaday off myes atakomaje....😱

Furahia....
 

Attachments

  • 98244ed266980445b897a7225ee86fc5.jpg
    31.3 KB · Views: 43
Evans makes it 3-0.....

The scoreline is shutting up some bush league pundits in UK....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…