Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Oct 16, 2021 #159,121 Belo said: I think Maguire hakupaswa kuanza hii game bado hayuko fit Click to expand... Heri hata angeanza na Scot hapo kwenye backline
Belo said: I think Maguire hakupaswa kuanza hii game bado hayuko fit Click to expand... Heri hata angeanza na Scot hapo kwenye backline
The best 007 JF-Expert Member Joined Oct 6, 2019 Posts 42,480 Reaction score 98,527 Oct 16, 2021 #159,122 PTER said: Carabao tumeshatoka atachezaje ? FA mechi hazijaanza mkuu. Click to expand... Mkuu uwe unakubali kushindwa mzee wakati mwingine, kwani Carabao tumeanza kucheza mwaka huu, au Amad alikuja tukiwa tumeshatolewa?
PTER said: Carabao tumeshatoka atachezaje ? FA mechi hazijaanza mkuu. Click to expand... Mkuu uwe unakubali kushindwa mzee wakati mwingine, kwani Carabao tumeanza kucheza mwaka huu, au Amad alikuja tukiwa tumeshatolewa?
Ntalukwilasa JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 989 Reaction score 1,281 Oct 16, 2021 #159,123 Hakuna muunganiko wowote kwenye timu... Yaani timu inachazacheza tu
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,350 Reaction score 13,878 Oct 16, 2021 #159,124 Toeni Maguire haraka sana
The best 007 JF-Expert Member Joined Oct 6, 2019 Posts 42,480 Reaction score 98,527 Oct 16, 2021 #159,125 Belo said: I think Maguire hakupaswa kuanza hii game bado hayuko fit Click to expand... Sio hayuko fit bali ana errors nyingi huyo mwingereza.
Belo said: I think Maguire hakupaswa kuanza hii game bado hayuko fit Click to expand... Sio hayuko fit bali ana errors nyingi huyo mwingereza.
Ntalukwilasa JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 989 Reaction score 1,281 Oct 16, 2021 #159,126 Tumekoswa tena...
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 18,864 Reaction score 39,635 Oct 16, 2021 #159,127 Yaani Pogba wa Ufaransa na huyu wa Man naona kama watu wawili tofauti, nilichokiona kutoka kwake ni style yake ya nywele.
Yaani Pogba wa Ufaransa na huyu wa Man naona kama watu wawili tofauti, nilichokiona kutoka kwake ni style yake ya nywele.
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Oct 16, 2021 #159,128 The best 007 said: Mkuu uwe unakubali kushindwa mzee wakati mwingine, kwani Carabao tumeanza kucheza mwaka huu, au Amad alikuja tukiwa tumeshatolewa? Click to expand... Msimu uliopita Amad alikuja January hope tulikuwa tumeshatolewa na Man City kwenye kombe la Carabao. Msimu huu wakati tunacheza Carabao Cup Amad Diallo alikuwa na injury mkuu.
The best 007 said: Mkuu uwe unakubali kushindwa mzee wakati mwingine, kwani Carabao tumeanza kucheza mwaka huu, au Amad alikuja tukiwa tumeshatolewa? Click to expand... Msimu uliopita Amad alikuja January hope tulikuwa tumeshatolewa na Man City kwenye kombe la Carabao. Msimu huu wakati tunacheza Carabao Cup Amad Diallo alikuwa na injury mkuu.
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,297 Reaction score 46,749 Oct 16, 2021 #159,129 Hii timu chini ya Ole hamna kitu.. Sent using Jamii Forums mobile app
Wild sniper JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 4,426 Reaction score 8,726 Oct 16, 2021 #159,130 joseph1989 said: Yaani Pogba wa Ufaransa na huyu wa Man naona kama watu wawili tofauti, nilichokiona kutoka kwake ni style yake ya nywele. Click to expand...
joseph1989 said: Yaani Pogba wa Ufaransa na huyu wa Man naona kama watu wawili tofauti, nilichokiona kutoka kwake ni style yake ya nywele. Click to expand...
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,053 Reaction score 23,670 Oct 16, 2021 #159,131 Man u na cleanshit hawajawahi patana aiseee
Wild sniper JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 4,426 Reaction score 8,726 Oct 16, 2021 #159,132 Huyu Big head hapaswi kurudi sec half hata kea bahati mbaya amechoka akili na mwili.
The best 007 JF-Expert Member Joined Oct 6, 2019 Posts 42,480 Reaction score 98,527 Oct 16, 2021 #159,133 PTER said: Msimu uliopita Amad alikuja January hope tulikuwa tumeshatolewa na Man City kwenye kombe la Carabao. Msimu huu wakati tunacheza Carabao Cup Amad Diallo alikuwa na injury mkuu. Click to expand... Aya bhn.
PTER said: Msimu uliopita Amad alikuja January hope tulikuwa tumeshatolewa na Man City kwenye kombe la Carabao. Msimu huu wakati tunacheza Carabao Cup Amad Diallo alikuwa na injury mkuu. Click to expand... Aya bhn.
Wild sniper JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 4,426 Reaction score 8,726 Oct 16, 2021 #159,134 Kuna mda tumepigiwa pasi mpaka nikajua ni Barcelona
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,191 Reaction score 29,749 Oct 16, 2021 #159,135 Hii timu si ya kishindani kabisa, yani ni ya hovyooo
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Oct 16, 2021 #159,136 The best 007 said: Aya bhn. Click to expand... Uwe unafuatilia mkuu
C code4494 JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 819 Reaction score 1,233 Oct 16, 2021 #159,137 Tunaomba Link wadau, wengine tupo porini
msomi uchwara JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 4,696 Reaction score 8,821 Oct 16, 2021 #159,138 Ila kiukweli tunacheza tu lakini sioni mbinu au ufundi wowote kutoka kwa kocha wetu...
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Oct 16, 2021 #159,139 tamuuuuu said: Hii timu si ya kishindani kabisa, yani ni ya hovyooo Click to expand... Watu wanacheza kama wanamimba changa
tamuuuuu said: Hii timu si ya kishindani kabisa, yani ni ya hovyooo Click to expand... Watu wanacheza kama wanamimba changa
Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 804 Reaction score 956 Oct 16, 2021 #159,140 isky said: Nawezaje kustream hii game mazee? Click to expand... Nenda playstore tafuta app inaitwa live football Tv ndio ninayoangalizia mpira hapa sasa hivi
isky said: Nawezaje kustream hii game mazee? Click to expand... Nenda playstore tafuta app inaitwa live football Tv ndio ninayoangalizia mpira hapa sasa hivi