Bora mourhinho alitupa na kikombe cha uefa ndogoMnachopitia manure ndio tulipitia sisi Chelsea second coming ya mou pale darajani
Alikuwa anafanya tu bora liende akili take ikiwa United .
Alipewa mikoba United akawachachafya mkamtimua
Mechi kama 5 zijazo lazima tudondoshe point si chini ya 12✓Ole ameshindwa kumfit Pogba kwenye kikosi chetu..kwenye 433 ameshindwa kwenye 4231 napo ameshindwa..kazi kumhamisha tu kutoka CM to LW...At this point Pogba ni mzigo tu kikosini..he is only good in his days,lakini inconsitency aliyonayo ni something else..Kama United hawana mpango wa kumfuta kazi Ole basi naona ni heri Pogba akauzwa.
✓7 matches lakini tumeshakata tamaa..why??...Sababu ni kuwa tumecheza mechi zote hovyo ukiacha game moja tu ya Leeds and let's not forget kuwa tumefungwa na Westham,YoungBoys na kushinda kimazabe vs Villarreal kwenye mashindano mengine..Tumesajili 3 world class players lakini tumeendelea kuwa hovyo kuliko kawaida..kisingizio kikiwa ni DM,this is not enough,Ole na benchi lake la ufundi ni tatizo kubwa.
✓Kikosi chetu kina potential goal scorers wengi kuliko kikosi chochote pale Uingereza lakini angalia tunavyoshindwa kupata ushindi convicingly..Cavani,Ronaldo,Greenwood,Rashford,Sancho,Martial.
✓Ole amefanya kazi nzuri sana kwenye usajili..lakini sioni akiweza kutupa mafanikio,ni bora tumtoe ili kikosi hiki kisiondoke trophyless..
✓Mechi saba zijazo za ligi zitakuwa za kuumaliza msimu wetu,ambao mimi binafsi naamini ushaisha tupambanie nafasi ya nne kwani City,Chelsea,Liverpool wameonyesha wao ndo watachukua zile nafasi za juu..let's just wait and see..tumeshindwa kuchukua 21 points kutoka kwa timu ambazo uwezo wa kuzifunga upo mkubwa sana,sasa sitegemei sisi kufanya lolote la maana kwenye the upcoming EPL fixture..kimsingi mimi nasema the 2021/2022 season has reached to an end..tupambanie tu UCL spot.
Hata mim nina mtazamo huu, hapa tupambanie top4 tu, Ole hana uwezo wa kutupeleka nchi ya ahadi, never ever✓Ole ameshindwa kumfit Pogba kwenye kikosi chetu..kwenye 433 ameshindwa kwenye 4231 napo ameshindwa..kazi kumhamisha tu kutoka CM to LW...At this point Pogba ni mzigo tu kikosini..he is only good in his days,lakini inconsitency aliyonayo ni something else..Kama United hawana mpango wa kumfuta kazi Ole basi naona ni heri Pogba akauzwa.
✓7 matches lakini tumeshakata tamaa..why??...Sababu ni kuwa tumecheza mechi zote hovyo ukiacha game moja tu ya Leeds and let's not forget kuwa tumefungwa na Westham,YoungBoys na kushinda kimazabe vs Villarreal kwenye mashindano mengine..Tumesajili 3 world class players lakini tumeendelea kuwa hovyo kuliko kawaida..kisingizio kikiwa ni DM,this is not enough,Ole na benchi lake la ufundi ni tatizo kubwa.
✓Kikosi chetu kina potential goal scorers wengi kuliko kikosi chochote pale Uingereza lakini angalia tunavyoshindwa kupata ushindi convicingly..Cavani,Ronaldo,Greenwood,Rashford,Sancho,Martial.
✓Ole amefanya kazi nzuri sana kwenye usajili..lakini sioni akiweza kutupa mafanikio,ni bora tumtoe ili kikosi hiki kisiondoke trophyless..
✓Mechi saba zijazo za ligi zitakuwa za kuumaliza msimu wetu,ambao mimi binafsi naamini ushaisha tupambanie nafasi ya nne kwani City,Chelsea,Liverpool wameonyesha wao ndo watachukua zile nafasi za juu..let's just wait and see..tumeshindwa kuchukua 21 points kutoka kwa timu ambazo uwezo wa kuzifunga upo mkubwa sana,sasa sitegemei sisi kufanya lolote la maana kwenye the upcoming EPL fixture..kimsingi mimi nasema the 2021/2022 season has reached to an end..tupambanie tu UCL spot.
Ole ni wakutimuliwa.Hata mim nina mtazamo huu, hapa tupambanie top4 tu, Ole hana uwezo wa kutupeleka nchi ya ahadi, never ever
Ni average kocha, alipaswa kufundisha kina Fulham, Westbronwich, sio mzigo mzito aliopewa
Laiti Luis Vangal angevumiliwa hivi, i belive tungekua na timu ya kuogopwa baran ulaya
Leo hata ukiniuliza style ya man utd kiuchezaji, sina jibu ila ukiniuliza liverpool, chelsea, city natoa jibu
Pale hata aje mchezaji gani, kocha akiendelea kuwa OGS usitegemee muujiza wowote nduguWakuu... Suala la kumchukua yohane Cabaye asaidiane na fredi mafegi pale kati limekaaje?
Mbele pale tunahitaji mtunguaji kama rick lambert.
Anayeongoza ligi timu alizocheza nazo ingekuwa sisi United tungekuwa chini zaidi hata hizo 14 tusingefikisha..Kuweni na shukrani nyie mashabiki, anaeongoza ligi ana points 16 nyie mna 14 yaani tofauti ya 2 points ndio kelele hivi?
Kweli kabisa mkuu, hata Leeds wana kocha mkali na ukitaka uamini mkabidhi Bielsa United halafu Ole mpe Leeds halafu zikutane uwanjani,, hahahahahah United tunahasara sana.Ligi imejaa makocha mafundi watupu
Ole sendeka ni average manager
Yaani kwamba sisi wenye timu yetu tusijue wewe jirani ndio utujuze?Hizi ndio game zenu epl the coming fixture ,huenda watu hawajui ...
Lecister city Vs man utd
Man utd VS Liverpool
Spurs Vs man utd
Man utd Vs Man City ...
Hapo ole akichukua point 5 Basi atakuwa mwamba ,na mmpe mkataba mpya
Bora kauzwa tu yule alikuwa kimeo tu Leeds ndo saizi yake mpira wake ulikuwa sio wa kuchezea timu kubwa kama Manchester.Aliyemuuza Daniel James alaaniwe
itakuwa ni jicho la kucheza mpira kukamilisha ratiba ...
Kama ni kutaka epl au CL ,niseme tu mkuu huna akili na hujitambui ....
Amefanya nini huko Wales?Aliyemuuza Daniel James alaaniwe
Akiwa united hafanyi ila wales anafanyaAmefanya nini huko Wales?
Alifunga na kutoa pasi ya goli, kubwa zaidi workrate yake ni kubwa sana na iliwasaidia sana wales kuwadominate CzechAmefanya nini huko Wales?
United ni vichaa tu, Ole na bench lake la ufundi linadumaza viwango vya wachezaji wanaonekana ni average players tu. James alipaswa kutolewa kwa mkopo na siyo kuuzwa mazima kwa mkataba usio hata na buy-back clause.Alifunga na kutoa pasi ya goli, kubwa zaidi workrate yake ni kubwa sana na iliwasaidia sana wales kuwadominate Czech
walichokifanya ni sawa na kuuza bunduki unabaki na risasi sasa sijui utazitumiaje.United ni vichaa tu, Ole na bench lake la ufundi linadumaza viwango vya wachezaji wanaonekana ni average players tu. James alipaswa kutolewa kwa mkopo na siyo kuuzwa mazima kwa mkataba usio hata na buy-back clause.
Ila James hana bahati maana kuuzwa kwake bila shaka ilikuwa ni kwaajili ya maslahi ya timu kibiashara waweze kuipata namba 7 kwaajili ya Ronaldo ila watu wa kuuza wa kwanza ni Martial.