Tutawafunga goli 3 kwa 1. Cristiano na Mason watafunga.Mkuu man united vs Everton haijawahi kuwa easy fixture toka kipindi cha Ferguson.
Hawa Everton hata kama wako hali mbaya kiasi gani wakikutana na united ni kama derby.
Tusitegemee mteremko kwa Everton, binafsi game ya Everton huwa sitegemei kushinda cause everton ni part ya Liverpool hivyo rivalry na united ni ile ile.
Mkuu draw na ushindi bora draw? Ingekuwa master of clean sheets anapewa kombe sawa.Wadau wa Manchester United,hili suala la kukosa clean sheet karibia mechi zote tulizocheza linasababishwa na ubovu wa wachezaji wa United kwenye kuzuia au mfumo ( kocha) kwenye suala husika?
Yaani siku hizi kila mechi unatarajia kufungwa walau goli na ndio imekuwa kama utambulisho wetu halafu tunajisifia kuwa ni kings of comeback!
Kuna wakati huwa namuonea huruma De Gea hadi natamani tuwe tunapata droo za 0-0 kuliko kushinda 3-1.
Tuliomba wing ya kulia na ndiyo ulikuwa wimbo wetu huo, cha kushangaza hiyo wing ya kulia imekuja na haichezi wing ya kulia, hilo pekee linatosha kugundua ubabaishaji wa kocha.
Matchday
GGMU.
Saa nane na nusuSaa ngapi?
Leo yupo El Matador, sema kingine.MANJESTA LEO ANAKUFA MAPEMA SANA ,, KWA SPEED YA EVERTON PEPO MWEKUNDU HANA LAKE,, YULE MZEE WA KIRENO PALE MBELE, Na hii SPEED YA 4G YA EVERON SITAPI PICHA ATAKAVYOTOA ULIMI NJE YULE MZEE WA KIRENO ..
Bado hajafukuzwa tuSolskjaer leo kaanza vizuri ila Martial simuamini kabisa atatukera tu kama kawaida yake.
Ronaldo anaazia bench.MANJESTA LEO ANAKUFA MAPEMA SANA ,, KWA SPEED YA EVERTON PEPO MWEKUNDU HANA LAKE,, YULE MZEE WA KIRENO PALE MBELE, Na hii SPEED YA 4G YA EVERON SITAPI PICHA ATAKAVYOTOA ULIMI NJE YULE MZEE WA KIRENO ..
Mkuu manjesta bado timu yote mbovu..Leo yupo El Matador, sema kingine.
Mkuu manjesta bado timu yote mbovu..
Kafanya rotation nzuri,, cr7 alihitaji kupumzika, pengine apewe dkk 20 za mwisho,,,z
Kwa umri wake sio vyema kumfanya regular kila week,,,! Tukumbuke mechi ya Uefa katikati ya wiki alicheza
#GGMU