Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sijui jumamos itakuaje tena? kama ndo vle, vikombe vitaishia ndotoni tu.
 

No any excuses.. Ole ni Trash
 
Huyo kocha wao anajua kuwapoza Sana...game inayokuja ya ligi atashinda tena ...
 
Hii timu inabahatisha ...


Huwezi chukua kombe lolote duniani kwa kubahatisha
 
Nimekuja kugundua kuwa mashabiki wa man utd ni vilaza ,empty headed kabisa ...!

Wanachoangalia ni matokeo ya siku moja ,sio project ya timu ,



Mnasafari kubwa Sana nyie kenge walahi
 
Tuliomba wing ya kulia na ndiyo ulikuwa wimbo wetu huo, cha kushangaza hiyo wing ya kulia imekuja na haichezi wing ya kulia, hilo pekee linatosha kugundua ubabaishaji wa kocha.
Mkuu matatizo ya uwanjani ya klabu yetu pendwa hayajawahi kuisha.
ataanza beki
atafuata winga
atakuja forward
atakuja kiungo
Yaani ilimradi Ole apate pa kujifichia udhaifu wake
 
Jana tumeshinda dk za mwisho lakini bado team haina performance kabisa ni kama bahati tu tukashinda.
Kinacho nishangaza ni kwamba mpk mimi mmatumbi wa kwa njeka naona team haichezi sasa wale wazungu wataalamu wa mpira pale Man u hawalioni hili?

Mbona hakuna mabadiliko kila siku ni vilevile tu au wanataka mpk tupungue kilo huku mtaani?
 
Hivi GHANI mzee wa MANJESTA yuko wapi


MAPEPO UNITED MAPEPO UNITED
MAPEPO UNITED MAPEPO UNITED
MAPEPO UNITED MAPEPO UNITED
MAPEPO UNITED MAPEPO UNITED


Jamaa huwa anajaza page nzima ya comment yake, wallahi Mungu fundi
 
Tuliomba wing ya kulia na ndiyo ulikuwa wimbo wetu huo, cha kushangaza hiyo wing ya kulia imekuja na haichezi wing ya kulia, hilo pekee linatosha kugundua ubabaishaji wa kocha.
Subiri rash arudi mkuu,
Saiv akicheza kulia inalazimisha martial kucheza kushoto na Greenwood kuwa nje.
Ukipiga hesabu zako mwenyewe utaona ni bora acheze kushoto greenwood kulia ( kuliko kuanza na Tony)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…