Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,662
Wakuu mbn zengwe, dogo kaharibu mechi moja tu mmeitoa imani kwake wakuu? Mbn huwa c mbinafsi yule dogo, ngj nimuite aje athibitishe kwamba hatarudia tena Greenwood
Hii ndo mara ya kwanza tunawafunga..nyingine zote draw.Ila villareal huwa wanatusumbua sn.
Kuna ile mijinga ya Chelsea huioni humu saiz ishakalia uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Matokeo vipi nyie vishetwain vishoga
Option tunazo kibao aisee...ila mipango hamna.Kosi la dunia sema kocha wa Kagera [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanangu Mpira mna uchukuliaje hasa mpira huu wa mashindano ya ulaya ? Ivi mnafatilia haya mashindano kweli kuanzia games hadi matokeo?Ma.mae walai..ilikuwa tayari ni draw hii..na tumekoswa mara kibao..
Ole Ole unatuzingua.
Ngoja tuone mkuu mana mgambo usimpe asilimia zote ukadhani ana mafunzo ya kijeshi kisa naye anavaa gwanda.Naona Lingard kaacha ujinga siku hizi
Tulisema ule mpira wao ipo siku watapigwa na kitu kizitoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wamepigwa na kitu kizito kichwani
Unajisikiaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Matokeo vipi nyie vishetwain vishoga
Ole mi5 tena [emoji16] nampenda sana Ole, yani mechi 1 Man Utd ishinde, mechi ya pili isuluhu, mechi ya 3 ifungwe [emoji1787]Bwana Sendeka kawapoza kidogo,zile Ole Out zimepungua...Ni mwendo wa kung'ata na kupuliza.
Tupo hiyo mijinga ya Chelsea ambayo ndiyo Vidume bora wa Ulaya mwaka huu kwa kubeba UEFA CHAMPIONS LEAGUE & UEFA SUPER CUP [emoji16]Kuna ile mijinga ya Chelsea huioni humu saiz ishakalia uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We Jamaa ebu taratibu basi, yani unataka afukuzwe ili sisi Mashabiki kindakindaki tupoteze furaha tukiwa tunakuja kujichotea tu point 3 Old Trafford kwa kuwaajiri makocha wataalamu kama Zizou na Conte ili muwe vizuri kiushindani [emoji848][emoji847]Bado hajafukuzwa tu
The game was bull bull!! hahaaa lingard babalaoRonaldooooo
Asante Jesse Lingard na Fred..
Ole still a PE teacher.
What a game.