Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumbuka unazungumzia Matic wa miaka 26 vs Matic wa miaka 32.

Mata wa miaka 24 vs Mata wa miaka 31.

Kwa akili yako ya kawaida hao watu wanaweza kuwa na energy sawa uwanjani ??
Rudia kunisoma
 
Wengine mnalaumu fernando kukosa penalt. Kama messi anakoswa na ndiyo ze best player ever, sembuse ronaldo na wenzie!!!!


Alafu musimlaumu kocha, wachezaji wakuraumiwa.
the best player ever? anamagoli mangapi msimu huu mpaka sasa kulinganisha na Ronaldo?
 
Nimekwambia ulete takwimu unaleta maneno.

Takwimu ingia google

Nani kamtangulia mwenzie kucheza? 😅 pamoja na yoote wametofautiana kidogo kwenyi magori huku Ronaldo akiwa na mechi nyingi kumzidi messi.
 
Messi ana kipaji cha kuzaliwa,,,,timu ikielemewa ni mwepec kubadili game na kuipatia ushindi timu yake. Ronaldo icho ki2 hana.
Moja ya statement ya kipuuzi kuwahi kutokea katika soka ni hii ya kwamba "Messi ana kipaji cha kuzaliwa ila Ronaldo hana kipaji cha soka."

Huwa sipendagi kabisa kuingia kwenye mijadala ya Messi na Ronaldo nani mkali maana huwa haina mantiki. Unaamini Messi ni mkali sawa, unaamini Ronaldo ni mkali pia uko sawa baki na unachoamini kwanini ulete vitu ili mmoja umuweke juu na mmoja awe chini.

Elewa kwanza neno 'kipaji' / 'talent' lina maana gani.
 
Upangaji wa kikosi ni kama unatabirika kila siku.

Huyu DvB naamini ni mzuri ila Ole hajui kumtumia au amekariri mcfred yake kila game.

Ushajaribu hadi dakika ya 60-70 hujapata mwanga,lakini greenwood anacheza halafu Cavan yuko nje

Imagine kwa siku ya leo mtu ni shabiki wa United halafu na simba siku inavyokuwa mbaya
 
Mpaka sasa huko psg, amebadili mechi ngapi?? Unaongelea mpira wa magazetini

Mzehe, Usiongee kama ujui mpira.

Messi ameplay mechi 2, kati ya 2 only one amecheza 90 minutes.

Ronaldo aripojiunga juve mechi ngapi alicheza bila kufunga?

Ronaldo mmaliziaji
Messi mchezeshaji, anacheza pembeni, nyuma, kati,,in short kotekote mzehe, acpofunga ata assist kwa wengine wafunge.

Namba anayocheza bwana Messi ni kubwa sana kwa Ronaldo, ataachaje kufunga wakat mwenziye anacheza nyuma na kuondoka na kijiji!!!!

Pa1 na ayo still Wametofautiana magori machache mnoo ukizingatia jamaa enu amecheza mechi nyingi kuzidi mwalimu wake messi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…