Kuna mbuzi mmoja alisema United inamuhitaji Harry Kane ili ichukue ubingwa.Hawa wote wapumbavu..watabaki kusema United inabidi imsajili Declan Rice ili imfunge Aston Villa.
United ina kikosi bora kabisa ulaya,kocha anashindwa kufundisha mpira..wachezaji wanajichezea tu.
Anakwambia subiri mwisho wa msimu.Ndugu yangu Chief-Mkwawa hii timu Ole haiwezi.
View attachment 1952577
Naona Martinez alikuwa analizimisha penati apige Ronaldo 😀😀😀
Uso wa Bruno baada ya Greenwoon kukosa ulionesha wazi angekuwa na mamlaka greenwood asingeendelea na mechi......Leo walikuwa hovyo sana kale ka greenwood kalikuwa hovyo kameachwa dakika 90 ule uingereza unamponza
Zidane mtoe hapoa ana 3peat za UEFA.Sosha
Zidane
Ni makocha wenye bahati mno dunia ya leo kufundisha vilabu vikubwa duniani...
Ronaldo acheze na Carrick halafu leo awe kocha wake.
Chini ya mesi kivipi mkuu emu lete takwimu.Ronaldo cku zote ataendelea kuwa chini ya messi hilo halipingiki 😅 ivi wangempata Messi
Zidane yupo mbali sanaSosha
Zidane
Ni makocha wenye bahati mno dunia ya leo kufundisha vilabu vikubwa duniani...
Chini ya mesi kivipi mkuu emu lete takwimu.
Kiswahili gani hiki na ww? Hujawahi kuona timu kama hii wakati umeona huko shule mnajifunza ujinga?Sijawahi kuona timu bovu kama hili duniani kote.
Sema hapa umechapia sana na wewe sema unampenda mess sio hiki ulichoandikaMessi ana kipaji cha kuzaliwa,,,,timu ikielemewa ni mwepec kubadili game na kuipatia ushindi timu yake. Ronaldo icho ki2 hana.
Nimekwambia ulete takwimu unaleta maneno.Messi ana kipaji cha kuzaliwa,,,,timu ikielemewa ni mwepec kubadili game na kuipatia ushindi timu yake. Ronaldo icho ki2 hana.
Sancho, DVB wote wanaishia benchi.tumelipa hela nyingi sana kwa Sancho alafu leo hii kiungo wa kati anaenda kucheza nafasi yake hivi kisaikolojia inamuweka sehemu gani?