Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Ronaldo hajabadili ubao huko? ππππJamani pale man utd kusema kweli kabisa hatuna kitu pale tusidanganyane wadau Yani pale ni matope tu yamejaa,timu gani inasubiri maajabu na bahati ndo ishinde, Yani ni bure kabisa ni huo upenzi tu wa hii timu la sivyo Mambo yangekua tofauti kabisa...MAVI MATUPU.
Wako sahihiKumbe ni wapumbavu hao wachezaji wenu
Mimi sinaga mbwembwe maana najua mpira una the unexpected. Ila natumaini tutashinda tu.Hapa inabidi Brentford wafanye mambo mji utulie kidogo.
Hata mimi nimewaza hajawahi kipiga penalty kama ile toka aje.Bruno amekosa penalty makusudi wakuu, ile distance kwa mbutuo huo sio kweli......Ole october mwisho kuwa kocha wa man u
Acha maswali ya ajabu wewe ulaya kuna makocha wengi sana sio Ole tu. Nenda kagoogle makocha uchague wa kupewa timu.Nani apewe timu?
mkuu Bruno sio upigaji wake wa penalty na kupaisha kule unaona kabisa kuna makisudi fulani (nipo tayari kusahihishwa)Kwahiyo unataka kusema kuna mgomo baridi ndani ya klabu?
Hata mm nimeona hilo wachezaj walikuwa hovyo sana naona kama washamchoka kocha walichokuwa wanakicheza hakijulikani nafikir sosha uwezo mwingine hana zaidi ya palemkuu Bruno sio upigaji wake wa penalty na kupaisha kule unaona kabisa kuna makisudi fulani (nipo tayari kusahihishwa)
Pia kwa uchezaji wa timu wa leo ule na kupoteza pasi hata zisizo na pressure yoyote kuna mashaka....ngoja tuone.
sema timu yetu inafuataga process ndefu sana kumfukuza kocha.....Hata mm nimeona hilo wachezaj walikuwa hovyo sana naona kama washamchoka kocha walichokuwa wanakicheza hakijulikani nafikir sosha uwezo mwingine hana zaidi ya pale
Leo walikuwa hovyo sana kale ka greenwood kalikuwa hovyo kameachwa dakika 90 ule uingereza unamponzasema timu yetu inafuataga process ndefu sana kumfukuza kocha.....
ila unaona tu wachezaji wanamtafutia kocha lawama zaidi kwamaana wanajua kocha hawasaidii katika upatikanaji wa matokeo.