Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani pamoja na Sir Alex kutuma sms kwa OGS wakati wa Mchezo lakini bado ameshindwa kutumia mbinu za Babu

Sema Antonio Conte hana timu ni sisi wenyewe tushindwe kumchukua
Shida MAN U PESA HAKUNA HYO NDIO CHANGAMOTO
 
Kuwa legend wa timu ni pamoja na kupenda kuona inafanya vizuri bila kujali umehusika vipi. Kwanini Ole asiwe muungwana akaachia ngazi ili timu ipate mafanikio chini ya mtu mwingine?
Ni kama vile anatukaba wakati lengo letu ni ushindi
Msipo mfukuza hana aibu huyu boya yy anawaambia kuna progress wanafny..ole ni inept tactics zake ni failure ilo liko wazi hata umuulize mtt wa primary
 
Jamani pale man utd kusema kweli kabisa hatuna kitu pale tusidanganyane wadau Yani pale ni matope tu yamejaa,timu gani inasubiri maajabu na bahati ndo ishinde, Yani ni bure kabisa ni huo upenzi tu wa hii timu la sivyo Mambo yangekua tofauti kabisa...MAVI MATUPU.
 
Tena inawezakuwa ndio timu inayoongoza kuwa na kikosi bora, kocha ndio kimeo.
 
Yaani pamoja na Sir Alex kutuma sms kwa OGS wakati wa Mchezo lakini bado ameshindwa kutumia mbinu za Babu

Sema Antonio Conte hana timu ni sisi wenyewe tushindwe kumchukua
Conte ni wale makocha wenye misimamo mikali, sijui kama bodi ya man u itamuweza. Aliondoka Inter baada ya kunyimwa bajeti ya kutosha na kulazimishwa kuuza wachezaji, akaona isiwe taabu!
 
Evra ndio legend pekee aliyefungua mdomo juu ya uwezo mdogo wa Ole last season... Nasubiri kina Neville, Kean, na Scholes wataongea nini kuanzia sasa.

Kiufupi, Ole Sabaya uwezo umeishia hapa. Afurushwe kesho asubuhi kabla sijaenda jogging
Ongezea keane naona msimu huu kashalianzisha
 
Evra ndio legend pekee aliyefungua mdomo juu ya uwezo mdogo wa Ole last season... Nasubiri kina Neville, Kean, na Scholes wataongea nini kuanzia sasa.

Kiufupi, Ole Sabaya uwezo umeishia hapa. Afurushwe kesho asubuhi kabla sijaenda jogging
Wakati wa Mourinho Rio Ferdinand alikuwa anagombana kabisa timu ikifanya vibaya, sijui siku hizi kapotelea wapi.
 
Maumivu week in week out. Jinsi nilivyoshangilia ile penalty daaah! Bruno kwanini hakupiga kama kawaida yake?

Bora tungefungwa bila kupata penalty na kukosa.
Bora tumefungwa, me binafsi nataka tupoteze hata mechi tano zijazo Ili angalau baadhi ya watu wafunguke akili kuwa hatuna kocha.

Nimeangalia fixture ya October, nikaangalia na mpira tunaopiga nimejiridhisha kwamba ninalolitaka litatimia, ni swala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…