Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
Umri wake unamruhusu kufanya hayoHuyu jamaa huwa anachekesha sn cjui anapata wapi huu muda
Kwa kweli zile shots nyingi zilipigwa nje ya box la hammers baada ya kukosa mbinu za kupenya ngome yao.Tunakoelekea wanazi wa OLE wataanza kudai man utd ndio yenye shot on target nyingi
tunakoelekea, Ronaldo ataanza kutoa maelekeo tofauti uwanjani very soon.Ronaldo atamfukuzisha kazi sosha
Hata ile mechi ya juma pili tulikuwa na shot on target nyingi, nadhani msimu huu tunaweza tukaongoza hilo eneo.Kwa kweli zile shots nyingi zilipigwa nje ya box la hammers baada ya kukosa mbinu za kupenya ngome yao.
Kiufupi tulikwama kuifungua defense ya westham kwa mbinu tulizokuja nazo uwanjani.
Na huwa hana uvumilivu yule jamaa, yeye anataka kuweka historia zake alafu falamanga wa ushagoo na sime lake kiunoni amkwamishe!!tunakoelekea, Ronaldo ataanza kutoa maelekeo tofauti uwanjani very soon.
Na huwa hana uvumilivu yule jamaa, yeye anataka kuweka historia zake alafu falamanga wa ushagoo na sime lake kiunoni amkwamishe!!
Na huwa hana uvumilivu yule jamaa, yeye anataka kuweka historia zake alafu falamanga wa ushagoo na sime lake kiunoni amkwamishe!!
Na huwa hana uvumilivu yule jamaa, yeye anataka kuweka historia zake alafu falamanga wa ushagoo na sime lake kiunoni amkwamishe!!
Watatupooza kwa ushindiMda mwingine Labile tunamuonea tu akitaka kusepa, ila kwa hali hii anajiona anamaliza carrier yake hana champions league wala EPL ndo anapopata moto wa kusepa.
Sasa bwana Mzee Ronaldo huyu ndo hali ikiendelea hivi anaweza omba uhamisho next season maana yeye anafukuzia record tu akiona hapa apeche alolo anachanganya mbaliga.
Hivi wale Aston Villa sijui asee maana ni wamoto hasa ngoja tuone hiyo weekend kama wachezaji wamepata moto au bado wamepoa.
Ha ha ha haNa huwa hana uvumilivu yule jamaa, yeye anataka kuweka historia zake alafu falamanga wa ushagoo na sime lake kiunoni amkwamishe!!