Hata wakipona mkuu kwa kocha huyu hakuna jipya, kikosi cha leo kilikuwa na wachezaji wazuri tu kuliko wa west ham, hata tukishinda huwa ni kwa tabu sana hata tunapocheza na timu ndogo.
Makombe yenyewe ya kuchukua ndio haya tia kuni unaleta confidence wkt mbinu huna, kile ki Martial kule mbele kakipa muda wote ule wa nini?
BADO HAJAFUKUZWA TUUUUUUUUU......