OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Kumbe ni katoto kadogo ndio maana pumba haziishii mdomo mwako.Mimi ndio nazaliwa huo mwaka jamaa ndio linaanza kuupiga mwingi ..haya maisha hata dah!
Ila Skozy alizingua sana kucheza unyumbuni.
Nimeichungulia ratiba yetu ya mechi zijazo imenibidi nikubaliane na unachokisema kwa njia ya maandishi, lakini kuna jambo moja laziba tuliweke vichwani mwetu.Michezo mitano ya ligi inayofuata itaamua hatima ya Bwana Ole pale Carrington.
haina hata haja ya kuwa na wasiwasi Ole ni mweupe tu kimbinu anafundisha mpira mwepesi sana kama hesabu za jumlisha.Kuuliza sio ujinga sosha hana mfumo tafauti lazima atumie double pivot? Alafu ukiangalia game zetu hatupo aggressive kabisa kwenye ukabaji tafaut na timu kama liver na Chelsea
Mimi nina wasiwasi na uwezo wa sosha kimbinu...angalia Chelsea aliyoiacha Lampad alivyokuja tunchel imebadilika kabisa...sisi tunakikosi lakn mbinu za kocha hazipo sawa
Akibadili leo tutakua na mechi ya hovyo sana nadhani, jamaa wakiweka kile kikosi chao vilevile tunaweza kuaga kombe la kwanza leo ngoja tuone.Nimeichungulia ratiba yetu ya mechi zijazo imenibidi nikubaliane na unachokisema kwa njia ya maandishi, lakini kuna jambo moja laziba tuliweke vichwani mwetu.
Ole wa sasa ana kundi kubwa sana la wachezaji wenye uwezo wa kumpa huduma ya magoli pengine kuliko kocha mwengine yeyote pale England, na hii ndio silaha yake kubwa itakayoendelea kumweka mjini kama ataendelea kuchanga karata zake vyema.
Ukitaka kupima ubora wa Ole kiufundishaji na si kimatokeo basi subiria mechi atakayofanya mabadiliko ya kikosi kwa kuwaweka nje key players hususani bruno fernandez, kwa mfano nimeona mechi ya leo akizungumzia mpango wake wa kufanya mabadiliko ndani ya kikosi kwa kuwapa nafasi wachezaji wengine kama lingard, mata, telles, elanga n.k
tukumbuke kuna timu hazibadiliki kiuchezaji hata kama zitatumia wachezaji wa kikosi cha pili, timu ni hizo ni man city, liverpool, leeds, chelsea, brighton.
je pattern ya kiuchezaji itabaki vile vile au itaathiriwa na mabadiliko ya wachezaji?
bila ya shaka jibu tutalipata usiku wa leo na hapo ndipo tutakapofahamu rasmi Ole ni kocha wa aina gani.
Daaah kumbe ndomaana mnatusumbua, nilikuwa najiuliza hivi huyu jamaa ni mtu mzima kweli? Sasa nimejua .Mimi ndio nazaliwa huo mwaka jamaa ndio linaanza kuupiga mwingi ..haya maisha hata dah!
Ila Skozy alizingua sana kucheza unyumbuni.
Endapo Westham wakiamua kuanza na kikosi chao cha kwanza na sisi tukatumia wachezaji wa akiba dhidi yao,hakika tutakuwa na wakati mgumu.Nimeichungulia ratiba yetu ya mechi zijazo imenibidi nikubaliane na unachokisema kwa njia ya maandishi, lakini kuna jambo moja laziba tuliweke vichwani mwetu.
Ole wa sasa ana kundi kubwa sana la wachezaji wenye uwezo wa kumpa huduma ya magoli pengine kuliko kocha mwengine yeyote pale England, na hii ndio silaha yake kubwa itakayoendelea kumweka mjini kama ataendelea kuchanga karata zake vyema.
Ukitaka kupima ubora wa Ole kiufundishaji na si kimatokeo basi subiria mechi atakayofanya mabadiliko ya kikosi kwa kuwaweka nje key players hususani bruno fernandez, kwa mfano nimeona mechi ya leo akizungumzia mpango wake wa kufanya mabadiliko ndani ya kikosi kwa kuwapa nafasi wachezaji wengine kama lingard, mata, telles, elanga n.k
tukumbuke kuna timu hazibadiliki kiuchezaji hata kama zitatumia wachezaji wa kikosi cha pili, timu ni hizo ni man city, liverpool, leeds, chelsea, brighton.
je pattern ya kiuchezaji itabaki vile vile au itaathiriwa na mabadiliko ya wachezaji?
bila ya shaka jibu tutalipata usiku wa leo na hapo ndipo tutakapofahamu rasmi Ole ni kocha wa aina gani.
PL wameanza kuwa kama bodi ya ligi ya bongo..ratiba gani hii??..Uefa yenyewe tunacheza jumatano.aliyepanga hii ratiba hajatutendea haki sisi wengine, bila ya shaka mechi ya chelsea ndio itakayoonyeshwa live na vituo vikubwa.
au tusubirie nguvu ya ronaldo
View attachment 1948507
Mdau mpaka leo ujajua ole ni kocha wa aina gani???Nimeichungulia ratiba yetu ya mechi zijazo imenibidi nikubaliane na unachokisema kwa njia ya maandishi, lakini kuna jambo moja laziba tuliweke vichwani mwetu.
Ole wa sasa ana kundi kubwa sana la wachezaji wenye uwezo wa kumpa huduma ya magoli pengine kuliko kocha mwengine yeyote pale England, na hii ndio silaha yake kubwa itakayoendelea kumweka mjini kama ataendelea kuchanga karata zake vyema.
Ukitaka kupima ubora wa Ole kiufundishaji na si kimatokeo basi subiria mechi atakayofanya mabadiliko ya kikosi kwa kuwaweka nje key players hususani bruno fernandez, kwa mfano nimeona mechi ya leo akizungumzia mpango wake wa kufanya mabadiliko ndani ya kikosi kwa kuwapa nafasi wachezaji wengine kama lingard, mata, telles, elanga n.k
tukumbuke kuna timu hazibadiliki kiuchezaji hata kama zitatumia wachezaji wa kikosi cha pili, timu ni hizo ni man city, liverpool, leeds, chelsea, brighton.
je pattern ya kiuchezaji itabaki vile vile au itaathiriwa na mabadiliko ya wachezaji?
bila ya shaka jibu tutalipata usiku wa leo na hapo ndipo tutakapofahamu rasmi Ole ni kocha wa aina gani.
ukiangalia mechi za saa 11 hakuna timu kubwa inayochezaPL wameanza kuwa kama bodi ya ligi ya bongo..ratiba gani hii??..Uefa yenyewe tunacheza jumatano.
Bado hajafukuzwa tuMdau mpaka leo ujajua ole ni kocha wa aina gani???
Ilo jasho tutakalotolewa leo kwa kikosi icho utakuja kumkataa hapa waziwazi
Masuala ya Nge ndio ramli zenyewe hizoTT angekuja hapo OT angefanya mapinduzi pia
Niliangalia hii ratiba juzi nikashangaa sana..hapa Premier League wamefeli big time.ukiangalia mechi za saa 11 hakuna timu kubwa inayocheza
View attachment 1948553
Martial's days at Old Trafford are numbered.