Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mzee mmepigwa na kutapeliwa haswa mcheki anachoka Sana,, mcheki second half anavyotoa ulimi nje,,that why goli mostly anazibahatisha first half ..ni geresha lile we subiri mpaka mwisho was msimu atakanyo data na epl , epl sio ligi ya wazee ile
Mechi 2 goli 3
 
Well observed and well presented, ila kuna omission kubwa sana umefanya ambayo ninauhakika inamshangaza kila mmoja.
 
Bao la pili pasi inatoka kwa matic


Kitu ambacho fred na scot hawana
 
Bao la pili pasi inatoka kwa matic


Kitu ambacho fred na scot hawana
Kwa jinsi OGS alivyokabiliana na media kuhusu kiungo chetu ni kama vile alikuwa na mpango kabambe wa kuziba hayo madhaifu ndio maana usajili uliofuata aliuchukulia kama bonus tu. Lakini leo madhaifu yanaonekana wazi kabisa.
 
Huyo Tuchel wako alikula tano kwa West Brom kisa red card kama unafatilia mpira sema kwa sababu kapata sare na Liva mnataka kila game kucompare tu
 
Umejibu vizuri sijui atakuja na sababu gani Tuchel kala 5 kwa washuka daraja West Brom
 
Huyo Tuchel wako alikula tano kwa West Brom kisa red card kama unafatilia mpira sema kwa sababu kapata sare na Liva mnataka kila game kucompare tu
Haya Ole ni kocha mzuri na kwa kikosi hiki ni lazima tuchukue ubingwa.

Ikishindikana tusubirieni mwisho wa msimu Ili tukamilishe miaka tisa bila kombe, kisha tumpe misimu mingine hata mitatu Ili aendelee kuijenga timu yetu vizuri.

Inshallah, Allah atajaalia.
 
Atkinson continues to be the worst ref in the prem,penalt mbili za wazi kabisa tumenyimwa,and where the fu.ck was VAR?.

Bet you wish you had paid up for Lingard now you cheap bastards West Ham..£25m tu mkaona nyingi kwa huyu Lingard.

Nafuta kauli..Lingard abaki United ..ni squad player mzuri tu.
 
Wewe ni shabiki wa mihemko tuuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jana ronaldo anajitekenya na kucheka huku akitaka penalty nyepesi


Epl walishatoa waraka kuwa hakuna faulo nyepesi watakazo kubali na kutoa penalty,...

Ndio maana ile foul ya Walker vs saton ilifutwa ,...


Epl ni kwa ajili ya wanaume wapambanaji sio mabingwa wa kudive kudadekiiiii


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…