MY STARTING XI vs WESTHAM JUMAPILI
==========
De Gea
Dalot Varane Maguire Shaw
Matic Pogba
Greenwood Fernandes Sancho
Ronaldo
===========
Kocha😛E Teacher a.k.a Ole Gunnar Solskjaer.
Kocha wako mwenyewe anajua itachukua miaka mingi kufikia hicho ulichoandikaCity ndio timu kumbwa kwenye jiji la Manchester kwa sasa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jamaa ni jasiri mno
Mashabiki wa united tupokee ujumbe wetu kutoka kwa Phil Jones
Ujasiri upi mkuu ?Jamaa ni jasiri mno
The way ana ignore watu wana question uwepo wake utd.Ujasiri upi mkuu ?
Umeangalia mechi zetu zote this season?..Fred&Pogba imekuwa terrible combo..McTominay sina uhakika na fitness yake maana amefanya groin injury..Matic & Pogba no no no hapana wako slow sana.
Mlijaza ile emptyhad?Jana tumedraw ,ila nakwambia kuwa ,nyie hata hio point 1 kwa westham mtaitafuta kwa mbinde ...
Come on westham
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Our Scot has travelled to London hivyo tegemea kumuona uwanjani.Umeangalia mechi zetu zote this season?..Fred&Pogba imekuwa terrible combo..McTominay sina uhakika na fitness yake maana amefanya groin injury..
Good news.Our Scot has travelled to London hivyo tegemea kumuona uwanjani.
Yani hapo Man u isibebe kombe lolote kwa miaka takribani 50 alafu City iwe inabeba makombe kila msimu plus UCLs ndani ya hiyo miaka 50 lkn pia Man u ndani ya hyo miaka 50 ishuke daraja japo mara tatu, umeona sasa ugumu wake? Kwamba hizo ni habari za kufikirika haziwezi kutokea na ikitokea hivyo juwa kwamba football is dead.Kocha wako mwenyewe anajua itachukua miaka mingi kufikia hicho ulichoandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa timu ambayo haina hata ucl moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]City ndio timu kumbwa kwenye jiji la Manchester kwa sasa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
CL doesn't matterSasa timu ambayo haina hata ucl moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yah doesn't matter ndo mana haitakaa itokee City kubeba hilo kombe labda miaka 70 mbele, kama utavumilia kuwepo miaka hiyo basi utashuhudia.