Hili timu la mandezi.
Yaani ukitaka kuamini hili timu la mandezi hata yafungwe mechi 100 ila yakishinda mechi moja tu yanasahau kuwa ni mabovu na yanatakiwa yafanye marekebisho.
[emoji23]me tangu kipind cha ole washabik wa Man U kelel zao zinaendana na mzuka wq game baadhi baada ya hapo vilio na matusi..yan uwa wanasahau kua wanakocha ambae ni very average.Hili timu la mandezi.
Yaani ukitaka kuamini hili timu la mandezi hata yafungwe mechi 100 ila yakishinda mechi moja tu yanasahau kuwa ni mabovu na yanatakiwa yafanye marekebisho.
Msije mkanyukwa wenyewe hukoEe hii ndio ligi ya mabingwa hawa sio Nu Casto, ngoja nimywe kwanza zenit kisha niwarudie nyie matakataka.
Hichi kijibwa hakijawahi kukuwa kiuchezaji.Unaweza kudhani ni mchezaji kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1937891
Ukitaka kujua kocha hana akili angalia katoa forward kaingiza kiungo ya kukaba alafu baadae anatoa kiungo anaingiza forward [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Squad ipo nzuri sana
Mwalimu sasa ndio kipengele, timu inacheza vibaya tangia mechi tunazoshinda hadi tunazofungwa, ni kama vile kwenye mazoezi huwa wachezaji wanaenda kuruka ruka hawajifunzi mbinu za kimpira, tunapiga pasi kwa sababu ni sehemu ya mpira, na kufunga kwa sababu ni sehemu ya mpira pia, lakini timu haijulikani inacheza mpira wa kushambulia au kujilinda.
Nalia na ole
Ronaldo out lingard in[emoji23]
Tactically hii sijui ilikuwa imekaaje wajuzi naomba msaada
@ARV live score leo atujaona kwenye nyuz zetu kule kwan nn kimetokealeo ronaldo ajachezaView attachment 1938017
Man of the match hahaUnaweza kudhani ni mchezaji kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1937891
Soma ubao huko na clean sheet juuMsije mkanyukwa wenyewe huko