Yaani ukitaka kuamini hili timu la mandezi hata yafungwe mechi 100 ila yakishinda mechi moja tu yanasahau kuwa ni mabovu na yanatakiwa yafanye marekebisho.

Pale baada ya red pia angeweza kumtoa vdb aingie Greenwood, pia angemtoa bruno/pogba aingie Varane zen tungecheza hata 4-4-1 mana CR7 kule mbele aliwaweza, lahaulaaa kocha akamtoa na CR7 mwenyewe