Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sancho ok ngoja nimpe mechi 10 tuone maana ananitia wasiwasi, Mechi ishakua ngumu bissaka ametuuza mchana kweupe.

CR7
huyu huwa haitaji kuzoea ligi ni kazi kazi kama hayupo ukistuka nyavu zinatikisika. Greenwood mkali wangu nataka kumuona humu awape amsha amsha kidogo.
 
Hii game kwenye makaratasi Young Boys lazima wanywe vikombe viwili vilivyobaki.

Baada ya red card timu ilikosa utulivu, nasubiri adhabu nzito kwa hawa wavulana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…