Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nadhani hivyo, maana hata mimi mpira wa Crystal Palace V's Tottenham niliuangalia wote hadi mwisho nikiwa home kwa simu haikusumbua kabisa hadi Full Time, maajabu eti sasa hivi inakataa katakata kufunguka
yes hata mimi nimeangalia huo mpira yani dah nakosa hii mechi maana nilipo haiwezekani bila stream
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…