Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Diego Forlán on Cavani giving the no.7 shirt to Ronaldo: "It was a beautiful gesture. I’m happy he’s [Ronaldo] back in Manchester; he’s one of the strongest in history; it’s good that he’s back home.

manutd |
#GGMU
 
Cavani
Pogba
Maguire
Varane
Ronaldo
Hao viumbe wana miili iliyoenda juu na nguvu pia, ligi kuu ya England inahitaji watu wa aina hii kwani inaonekana ni ligi ya mabavu, kukosa walau idadi ya miili jumba kulitukost sana ( we had the squad full of kids and skinny amigos) now that we have added some, najua we are going to be even more scary
 
Son ungemuacha, Bruno ndio alifaa kuuza ili ufanye usajili wa cr7. Hiyo chip ya wildcard mbona mapema hivyo? Huyo Torres hamna kitu wiki hii, ongeza straika Lukaku
Son ana hatihati ya kutoanza, Torres namuona akianza mbele ya Pep roulette kwasababu kama ile ban ya wachezaji wa Brazil itafanya kazi hatutamuona Jesus halafu City ana eazy fixture. Suala la Lukaku pia ntaliangalia kama ataweza kukaa kikosini still niwe na strong team kila angle.
 
Kama son ana hatihati ya kutoanza mtoe ili ufanye usajili kwa Kane
 
Na mm nimeanza kujaribu, japo cjaelewa vzr lkn naimani mbele huko nitaelewa tu
View attachment 1930962
Ushauri wangu usitumie pesa nyingi kwa wachezaji wa bench badala yake tengeneza kikosi cha kwanza imara, pia usitumie viungo wakabaji halafu mabeki wa City wiki hii naona wakiwa na kazi ngumu ikiwa watamkosa Ederson, mbele ya Leicester hii wanaweza wakakosa clean sheet.

Pia usipende kutumia mabeki wanne ni risk sana maana wao wanategemea sana points za cleansheet badala yeke weka beki tatu halafu chagua mfumo uupendao kati ya 3-3-3 au 3-5-2.
 
Giggs kacheza had akiwa na miaka 38 kaa kwa kutulia
 
Ronaldo ni mchezaji wa tofauti na hao unaosema wazee.
 
ili aje kukaa bench na kukuza bland ,ila kusema ronaldo anakuja kuwapa makombe ,ni sawa nakujitekenya na kucheka mwenyewe.....


Na hawa nyumbu msimu wa nne huu hawajabeba hata sahan
Ronaldo bado mtu wewe anamsaada mkubwa sanaq uwanjan
 
Huyu ni mzee tu ,Hana uwezo tena wa kubadilisha matokeoo uwanjan timu ikiwa imelemewa....

Wapiga cross wenyewe et kina Fred na magwaya
Kwenye kukaba sio mkabaj kwl ila unahis kwa zile pas hatar za pogba atawaacha kwl wapinzani ihiiiiiiiii yajayo yanafurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…