Toa 12.5 hiyo lazima aanze.Nyie NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA nipeni uhakika kama mnyama CR7 atacheza mechi ijayo. Nataka nimnunue kwenye kikosi changu cha fantasy
Habari zote kumzungumzia yeye nadhani ni faida kwetu.Wadau naanza kupata wasiwasi kwa wingi wa matumaini tuliyojipa juu ya CR7 ndani ya united.
Habari kuu kuhusu manchester united sasa hivi kwa 90% zinamhusu yeye.
Binafsi napenda awe chachu ya united kushinda mechi na mwishowe kutwaa makombe. Lakini hii hainitii upofu wa kuona kuwa cr7 wa sasa ana miaka zaidi ya 36. Mbali na hilo soka ni mchezo wa watu 11 uwanjani,hatujamaliza tatizo letu la msimu jana na uliopo kwenye nafasi ya kiungo cha chini,je hiyo mipira inaweza kumfikia kirahisi cr7 wakati hatuna muunganiko mzuri katikati ya uwanja?
Na kuongezea hapo,hii ni Premier League ambapo matumizi ya kasi na nguvu ni vitu visivyokwepeka kwa umri wake inaweza isimpe ubora tulioutarajia.
Hii sio kitu kibaya ila kwa upande mwingine ni kama vile mashabiki tumeweka matumaini yetu yote kwa ronaldo tusijue kuwa huyu anaelekea mwisho wa ubora wake.Habari zote kumzungumzia yeye nadhani ni faida kwetu.
Itawaondolea presha wachezaji wengine, mfano Hakuna mtu anamzungumza sancho saiv.
Huyu jamaa sionangi anachofanya hapo kwenu citizenReady for lecister cityView attachment 1929470
Kama kuna shabiki anatarajia maajabu, basi ana matatizo.Hii sio kitu kibaya ila kwa upande mwingine ni kama vile mashabiki tumeweka matumaini yetu yote kwa ronaldo tusijue kuwa huyu anaelekea mwisho wa ubora wake.
EPL ya sasa kwa ronaldo ni sawa na changamoto mpya kama ilivyo kwa sancho na varane. Hivyo mashabiki tusiwe na matumaini makubwa kupita kiasi.
Nadhani kwa asilimia kubwa kaletwa kibiashara zaidi kuliko mafanikio ya uwanjani.
Huu ni mtizamo wangu tu
Umeangalia game na norwich hivi ?? Zile cross zote alikuwa anapiga jesus,mpaka sasa pep kashamwamin kabisa ...Huyu jamaa sionangi anachofanya hapo kwenu citizen
Toa 12.5 hiyo lazima aanze.
Wadau naanza kupata wasiwasi kwa wingi wa matumaini tuliyojipa juu ya CR7 ndani ya united.
Habari kuu kuhusu manchester united sasa hivi kwa 90% zinamhusu yeye.
Binafsi napenda awe chachu ya united kushinda mechi na mwishowe kutwaa makombe. Lakini hii hainitii upofu wa kuona kuwa cr7 wa sasa ana miaka zaidi ya 36. Mbali na hilo soka ni mchezo wa watu 11 uwanjani,hatujamaliza tatizo letu la msimu jana na uliopo kwenye nafasi ya kiungo cha chini,je hiyo mipira inaweza kumfikia kirahisi cr7 wakati hatuna muunganiko mzuri katikati ya uwanja?
Na kuongezea hapo,hii ni Premier League ambapo matumizi ya kasi na nguvu ni vitu visivyokwepeka kwa umri wake inaweza isimpe ubora tulioutarajia.
Jibu zuri sana.Habari zote kumzungumzia yeye nadhani ni faida kwetu.
Itawaondolea presha wachezaji wengine, mfano Hakuna mtu anamzungumza sancho saiv.
Jibu zuri sana.
HaterHii timu naitabiria mabaya msimu huu ..na Mara nyingi utabiri wangu hutimia.
Utabiri wa kwanza: Ronaldo mzee wa kujipodoa hatofikisha goal 15 msimu huu.
Utabiri wa pili: kipaji cha sachonka na rashid makame ndio vinaenda kupoteza hivyo.
Utabiri wa tatu: manure itashika kati ya nafasi ya tatu au nne kwenye ligi.
Utabiri wa nne: huu utabiri unaweza pia kuwa wa kwanza, olesendeka atafukuzwa kibarua mapema sana kabla ya Desemba.
Mimi huwa sikosei huwa nakuwa nineshakamilisha utafiti wangu hivyo nina uhakika wa 97% kutokea kwa yote niliyotabiri kuhusu hii club takataka.
CFC
Kafie mbaliHii timu naitabiria mabaya msimu huu ..na Mara nyingi utabiri wangu hutimia.
Utabiri wa kwanza: Ronaldo mzee wa kujipodoa hatofikisha goal 15 msimu huu.
Utabiri wa pili: kipaji cha sachonka na rashid makame ndio vinaenda kupoteza hivyo.
Utabiri wa tatu: manure itashika kati ya nafasi ya tatu au nne kwenye ligi.
Utabiri wa nne: huu utabiri unaweza pia kuwa wa kwanza, olesendeka atafukuzwa kibarua mapema sana kabla ya Desemba.
Mimi huwa sikosei huwa nakuwa nineshakamilisha utafiti wangu hivyo nina uhakika wa 97% kutokea kwa yote niliyotabiri kuhusu hii club takataka.
CFC
upo uwezekano mkubwa wa kuanzia benchi,Oya CR7 mechi ijayo ataanza?
upo uwezekano mkubwa wa kuanzia benchi,
kwanza tunataka tumrandishe kila jukwaa kama ilivyokuwa kwa varane
atacheza kipindi cha piliKwa maana hiyo ana uwezekano wa kuto kucheza kabisa
atacheza kipindi cha pili
Hivi we mdada kutwa kushinda kwenye jukwaa la wanaume unawashwa?Hii timu naitabiria mabaya msimu huu ..na Mara nyingi utabiri wangu hutimia.
Utabiri wa kwanza: Ronaldo mzee wa kujipodoa hatofikisha goal 15 msimu huu.
Utabiri wa pili: kipaji cha sachonka na rashid makame ndio vinaenda kupoteza hivyo.
Utabiri wa tatu: manure itashika kati ya nafasi ya tatu au nne kwenye ligi.
Utabiri wa nne: huu utabiri unaweza pia kuwa wa kwanza, olesendeka atafukuzwa kibarua mapema sana kabla ya Desemba.
Mimi huwa sikosei huwa nakuwa nineshakamilisha utafiti wangu hivyo nina uhakika wa 97% kutokea kwa yote niliyotabiri kuhusu hii club takataka.
CFC
Ronaldo ataanza kikosi cha kwanza, hakuna sababu ya Ole kumuacha bench na kuja kumtumia kipindi cha pili kwasababu ana game time ya kutosha. Kacheza baadhi ya mechi na Juve, lately kafanya mazoezi na Portugal na kucheza mechi dk 90. Sasa hivi anaenda mazoezini na timu, hizo ni sababu tosha za yeye kuingia moja kwa moja kikosi cha kwanza.atacheza kipindi cha pili