unaambiwa bruno fernandez na phil jones walikuwa hawajawahi kuonana hata kwenye kiwanja cha mazoezi, jones anarudi kitandani huku upande wa pili ndio klabu inafanya mchakato wa kumsajili bruno, hiyo ilikuwa ni January 2020.
heshima kwake legendary phil jones a.k.a franco baresi wa England.