Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Safi sana, haya matakataka ndiyo yanayo tucost, bado matakataka haya hapa


Martial
Lingard
Jones (huyu sina shida naye cz hachezi)
Ole.
Kwa mtazamo wangu, Lingard sio takataka. Endapo akipewa run of games kama za Martial, atakuwa na msaada sana katika timu. Anauwezo mkubwa wa kujiposition,running zake zinaeleweka, pia sio mvivu. Binafsi nisingependa kumuona akiuzwa.

Martial ni talented player, ila ni mvivu kuliko kawaida, huyu anastahili kukaa benchi ili apate hamasa ya kupigania namba.
 
Hata akae benchi mwaka mzima hawezi pigania namba
 
Lingard mzr kwa timu ndogo the likes of Arsenal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…