Hehehehe Nzi Leo umemtaja mtu ambaye nilijua duniani hayupo kaenda mars Kumbe mfarisayo yupo? Hongereni naona ule muda wa winter kutoa watu Jasho ndio mmeuanza soon na sie tutapotelea mars hehehe. Leo atarusha picha mpaka atapewa ban nilikuwa nakuona Nzi na belo tu wabishi Kama wale singasinga wa united.