The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Solskier achieves what Sir. Alex Ferguson could not do!Tufsnye usajili wa kocha
Hahah nakuelewa mkuu ila kuna EFL kuna UCL kuna FA na hii EPL. Sasa tukisema tuchezeshe wachezaji walewale watachoka mapema watashindwa kupafom.Depth gani banaaa..
Jitu kama Martial linakula £200k+ per week af hamna anachofanya..huu ni ujinga.
Nachotaka kusema ni kwamba mtu akiwa below average na tumekaa nae kwa muda mrefu na analipwa hela ndefu hatupaswi kumfuga eti kisa depth..tunafagia na kuleta vipaji vipya.Hahah nakuelewa mkuu ila kuna EFL kuna UCL kuna FA na hii EPL. Sasa tukisema tuchezeshe wachezaji walewale watachoka mapema watashindwa kupafom.
Pogba defends himself that his tackle was no foul because it was 50 50 challenge
Kwa hiyo ikiwa 50 50 ndio aingie na zote vile.Pogba defends himself that his tackle was no foul because it was 50 50 challenge
Ni kweli ila nahisi Man U ina big minds wanaotazama ishu kama hizi.. Cha msingi ni tuamini tu maamuzi yao ya kubakiza wachezaji kama MartialNachotaka kusema ni kwamba mtu akiwa below average na analipwa hela ndefu hatupaswi kumfuga eti kisa depth..tunafagia na kuleta vipaji vipya.
Yes!Kwa hiyo ikiwa 50 50 ndio aingie na zote vile.
Kocha ameanza kumpa nafasi James wa championship, we ngoja kama hajamfukuzisha kazi.Ni kweli ila nahisi Man U ina big minds wanaotazama ishu kama hizi.. Cha msingi ni tuamini tu maamuzi yao ya kubakiza wachezaji kama Martial
Ukitumia mentality kama hio usije ukalaumu mwanao kutoajiriwa pindi anapomaliza chuo mana ni kama unamaanisha wasio na uzoefu wasipewe nafasi.Kocha ameanza kumpa nafasi James wa championship, we ngoja kama hajamfukuzisha kazi.
Umewasahau Spurs?Hii timu mpaka inashinda mashabiki wanakuwa wamebana pumzi na korodani ....
Kwa mbinde sanaaa