Guardiola ndo anaweza kumtumia.
Uache kuchukua mtu ambaye kufunga ni kitu cha kawaida uhangaike na wazuia magoli (DM) apo apo unao wengi tu, kwa vyovyote itakavyokuwa tulimhitaji CR7, madrid wangemhitaji CR7, Chelsea wangemhitaji CR7, man city wangemhitaji CR7, Barca wangemhitaji CR7, hakuna timu hapa duniani ingemuacha kama ingepata nafasi hiyo cz impact yake ni kubwa kwa klabu na ligi kwa ujumla.Umeona impact ya director of football? Jamaa yupo serious, strategic and very fast. Naamini huyu jamaa anaweza kusuka timu imara sana ndani ya hii misimu miwili. Kwa mara ya kwanza tumeingia sokoni tukiwa serious sana toka aondoke David Gill.
Techically, ukiangalia kwa umakini Ed Cavani anamaliza mkataba wake mwakani kama tunawasha moto msimu huu ili u-maintain momentum ya timu unahitaji repalacement makini. Nafasi ya mchezaji kama Cristiano au Lionel ikijileta hulazi damu, ni aina ya mchezaji ambaye hukosi goli 15 za EPL na goli 7 za UEFA kutoka kwao.
Hiki kiumbe hiki, kweli Mungu fundiCR7 ni mnyama ila ubora wake umeisha
Hahahaa sawa sawain cr7 we trust
Ronaldo atavaa namba 7 na Premier League hawatazuia hilo kwakuwa sheria ina kipengele cha kibali maalumu. CR7 ni brand, United bila shaka watatuma maombi yao na Ronaldo atapata kibali maalumu cha kuvaa namba hiyo.Mkuu ndio sheria zinasema hivo ,Cavan kashasajiliwa hawezi nyanganywa namba 7 kizembe bila sababu ya msingi ,either aondoke ..
Hakuna namna nyingine ya ronaldo kuvaa jezi no 7.....
No,.hauwezi chezesha Cavan na Ronaldo at pa. Fred, Tominay au Matic lazima mmoja awepo. Ronaldo/Rashid kushoto, Sancho kulia, Pogba 8,.Bruno 10, Cf Marson au Cavan.Tutakwenda na 4-4--2..
CR7 ...cavani 9
Rashford... Pogba Bruno. Sancho.
Shaw,magwea,varane bisaka.
Tutaachana na DM..
Kama ole yupo serious na makombe,..
Yani mtu wa miaka 36 unataka afanye aliyokuwa anafanya akiwa na miaka 20?Mmesajiri jina (brand) lakini hakuna mchezaji sasa hivi pale
Ufanisi wake ulikua Madrid , ata kule juve hakufanya la maana zaidi ya watu hadi wakakosa kombe la ligi
Sasa hivi hakabi, yeye anakimbia na move tu
Muoga sana kuingia zile 50-50, anajua akipata majerui makubwa ndio basi tena
Haya mapambio ya mwanzo ila baada ya x-mass au 2022 kabisa tutaimba nyimbo ya aina moja